Kufahamishwa vizuri juu mafunzo ya kijeshi wahitimu kidato cha 6. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufahamishwa vizuri juu mafunzo ya kijeshi wahitimu kidato cha 6.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Activist p, Jun 19, 2012.

 1. A

  Activist p Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa kufahamu utaratibu ukoje juu ya suala hilo yaani intake itakuwaje vigezo nakadhalika.
   
 2. ehm

  ehm Member

  #2
  May 18, 2014
  Joined: Mar 27, 2014
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2014
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  [h=2]AWAMU YA KWANZA. [/h][h=2]VIJANA 20,000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2014 KUJIUNNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KATIKA VIKOSI MBALIMBALI KUANZIA 01.JUNI 2014.[/h][h=4]UTARATIBU [/h][h=4][​IMG] [/h]
  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.

  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.

  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).

  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).

  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.
  • IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.
  Leo Alhamisi tarehe 08 Mei 2014 07:26.


  Majina ya vijana wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria AWAMU ya KWANZA. Zifuatazo ni kambi na Majina ya awamu hii ya kwanza kuanzia --- A- M)..


  -
   
Loading...