Kufa ni haki yangu...hakuna atakayeishi milele katika uso huu wa dunia.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Tusiogope kufa kwa kifungo cha maisha,kupigwa risasi,kuteswa kwan kufa ni haki ya kila mtu,hakuna atakayeishi milele katika uso huu wa dunia.
Nitakosoa,nitapinga inapolazimu kufanya hivyo,nitatetea na kudai haki yangu bila kuogopa vitisho,kufa nk kwani KUFA NI HAKI YANGU.
Tena bora kufa ukidai haki ili fikra,maoni na jina lako liendelee kuishi kama Malcolm X,Martin Lutherking na wengine ambao majina,fikra na maoni yako yanaendelea kuishi katika jamii.
MAKAMANDA TUSIOGOPE KUFA TUNAPODAI HAKI ZETU,KWANI KUFA NI HAKI YA KILA MTU HAKUNA ATAKAYEISHI MILELE KATIKA USO HUU WA DUNIA.
 
Kweli mkuu,katika kweli kifo hakuna kuogopa kifo,mimi hata mabomu wapige kanisani kila siku haitanitisha au kwenye mikutano sitaogopa kamwe,dunia mapito tu.
 
Back
Top Bottom