Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

Kipindi nipo chuo nilikuwa na mawazo kama yako na nilivyokuwa nasoma vitabu vya akina kiyosaki na chase nikimuona mtu hana ajira au hana pesa nilikuwa namchukulia negative sana...
Baada ya kumaliza chuo nakuanza rasmi mishe za mtaani mmh....mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mzeya huko upsala hamna fursa?
 
Mambo sio rahus sana kama unavyoweza elezwa lakin yanawezekana.

Ila nilichokuja fahamu ni kwamba kwasisi wajasiriamali, aibu yako ndio gereza lako.Unawez ukawa na skills nzuri tu ila utayari mara nyingi hufichwa ndani ya ile hali ya kusema "watanionaje au watanichukuliaje hawa?"

Kuitoa pesa mfukoni kwa mtu uitie kwenye mfuko wako iwe yako ni kipengele kigumu sana....but the important thing ili uweze kufanikisha hili ni "you have to talk to people..talk to them".., na sio maneno matupu porojo...u should talk sense kumfanya mtubafanye biashara na wewe na sio kwa wengine...anunue kwako na sio kwa wengine..akutafute wewe next time na sio wengine....
Sio kaz rahis hata kidogo though it is doable...

Baada ya kuanza kujiajir ndipo nikaja gundua umuhim wa hii kitu inaitwa SALES & MARKETING...nadhan hata watoto huko vyuoni wanaosoma hii kozi bado hawajui how sensitive it is mpaka uingie kwenye harakati...

NB
mtazamo huu ume base kwenye biashara sio hiz za kutega stand usubiri wateja kama mtoa mada.
 
Nahisi hujawahi kufanya biashara mzee, haiko ize kama ufikiriavyo, kamaulifanikiwa ize ize mshukuru saana mungu.
 
Huwa sielewi utofauti wa masikini na tajiri huko
Ni kweli mkuu nadhani unahitaji definition ya utajiri na maana ya maisha...
Yaani kweli mtu ana Ng’ombe 500 analalia ngozi huku asubuhi analeta maziwa kwa Baiskeli tena Anita
tunaweza kudhani kulalia godoro ndio ujanja ila mlalia ngozi mgongo wake ukamshukuru, na muendesha baiskeli kwa hayo mazoezi akaishi maisha marefu zaidi ingawa anachofanya sio effective, ila hao ng'ombe wake 500 ndio wanampa furaha na usingizi wa pono kuliko ungempa makaratasi kadhaa ndani ya lijumba linaloitwa benki (in short to each his/her own na kazi ya pesa ni moja tu nayo ni kumpa needs and wants mwenye pesa as well as peace of mind)
Watoto hawaendi shule wanakula ugali asubuhi na kuanza kukamua
Sisemi ni busara anachofanya na knowledge is power ila kama mwisho wa siku maisha ni kukamua huoni hicho wanachofanya hao watoto ni shule ?
Halafu unajiuliza huyo ni anaevaa yebo yebo anamiliki mifugo zaidi ya 500? Ni mwehu, masikini, tahira, au tajiri?
Kwani utajiri ni kuvaa mocassine ?
Kwa Kweli mswahili mpaka sasa wengi hawajui maisha ni nini
Wengine ni kuamka na kulala tu
Narudia tena nadhani tufungue uzi na kujiuliza what is life..., hapo ndio utagundua kwamba watu wengi wapo katika rat race chasing an illusion na huenda huyo mwenye mifugo yake ndio anayeishi sababu he/she is living the dream wakati wengine wanachase such dream..., kutamalaki they are dead without achieving their dream hence we can argue they have never lived at all....

Ukiangalia life at a different perspective au kwenye macho ya mtu mwingine utagundua a different side of the story hence understand the motive....
 
Ni kweli mkuu nadhani unahitaji definition ya utajiri na maana ya maisha...

tunaweza kudhani kulalia godoro ndio ujanja ila mlalia ngozi mgongo wake ukamshukuru, na muendesha baiskeli kwa hayo mazoezi akaishi maisha marefu zaidi ingawa anachofanya sio effective, ila hao ng'ombe wake 500 ndio wanampa furaha na usingizi wa pono kuliko ungempa makaratasi kadhaa ndani ya lijumba linaloitwa benki (in short to each his/her own na kazi ya pesa ni moja tu nayo ni kumpa needs and wants mwenye pesa as well as peace of mind)

Sisemi ni busara anachofanya na knowledge is power ila kama mwisho wa siku maisha ni kukamua huoni hicho wanachofanya hao watoto ni shule ?

Kwani unajiri ni kuvaa mocassine ?

Narudia tena nadhani tufungue uzi na kujiuliza what is life..., hapo ndio utagundua kwamba watu wengi wapo katika rat race chassing an illusion na huenda huyo mwenye mifugo yake ndio anayeishi sababu he/she is living the dream wakati wengine wanachase such dream..., kutamalaki they are dead without achieving their dream hence we can argue they have never lived at all....

Ukiangalia life at a different perspective au kwenye macho ya mtu mwingine utagundua a different side of the story hence understand the motive....
Nimekuelewa kwa kila point uliyojibu
Ni kweli maisha sio kama tunavyoyaona ila ni maamuzi ya mtu na jinsi anavyoyaona
Please fungua uzi tujimwage
 
Back
Top Bottom