Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Kutokana na mgogoro unaoendelea kwenye chama cha CUF kunauwezekano mkubwa wa viongozi wa CUF Visiwani chini ya Maalin Sef kufanya mazungumzo na viongozi waandamizi wa Chadema ili wafuasi wa CUF visiwani wakajiunga rasmi na chama cha Chadema ni hii itakuwa mtihani mkubwa kwa CCM.
Huu ndio utakuwa mwisho wa Proff. Lipumba kisiasa kwani kwa mjibu wa sheria ya vyama vya siasa kama hutakuwa na wanachama pande moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania usajili wako unafutwa. Proff Lipumba ametumiwa kukiua chama cha CUF lakini hapohapo ameleta neema kubwa sana kwa Watanzania haswa wapinzani kwa kuwa na Chama kimoja chenye nguvu bara na visiwani ambacho sio Ukawa tena bali ni Chadema.
Watanzania tunataka katika uchaguzi wa mwaka 2020 tuwe na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu ili CCM ikakae benchi baada ya kutawala nchi hii kwa miaka 50.
Kulikuwa na kila aina kashfa kuwa Chadema ni chama cha watu wa kaskazini na chama cha CUF ni chama cha kiislam lakini Muungano huu na kuwa chama kimoja kikubwa cha upinzani utaondoa dhana mbaya dhidi ya vyama hivyo. Bila kuwa na chama umoja chenye nguvu itakuwa vigumu kuiondoa CCM
Proff. Lipumba itabidi urudi darasani ukafundishe kwa mission aliyetumwa kuna uwezekano ukawaletea Watanzania neema.