Kuepusha fumanizi na vipigo, barua za namna hii zinahitajika!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuepusha fumanizi na vipigo, barua za namna hii zinahitajika!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Katavi, Mar 30, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mimi
  S.L.P 0000
  Hapahapa​
  YAH: MAOMBI YA KUSHEA MAPENZI NA BWANA AKO/MKEO.
  Rejea kichwa cha habari, mimi ni msichana/mvulana mwenye umri wa kutosha tu na mtanzania halisi. Naomba kushea mapenzi na bwana ako/mkeo naamini nitamtumikia vizuri kwani nina uzoefu wa kutosha kutembea na waume/wake za watu kwa muda mrefu toka nikiwa mtoto.
  Ni matumaini yangu kuwa utakubali ombi langu!!
  Wako mtiifu
  Mcharuko/Fataki​
   
 2. Kelvin Joseph

  Kelvin Joseph Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha ha ha. That's dangerous man.
   
 3. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila kusahau CV inayoonyesha mamia ya watu uliowatanguliza mbele za haki kwa VVU.
   
 4. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,035
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Bila kusahau, aseme kama ameshakunywa kikombe cha babu au la
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  :embarassed2::embarassed2::embarassed2::embarassed2:
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :lol:

  Hahaaaa!!! Katavi bana umenifanya nimecheka hadi lunch imejipanga vizuri tumboni

  Naungana na Mku Komedi kuwa kuonesha experience ni muhimu sana
   
 7. P I M

  P I M Senior Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ucsahau uwezo wako wa utendaji kazi.
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  hii ni barua safi tu naikopi halafu nitaipasti sehemu sehemu
   
 9. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nasikia utamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
   
 10. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  utamu raha utamu tamuuuuu
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nadhani umekosea kumalizia bila shaka ulikusudia

  Wako mtiifu
  Mcharuko/Katavi
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  chini kabisa ya barua unaweka sign yako
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!!! Wapi tena mkuu!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe teheeeh!! Hapo ombi halitakataliwa!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi kwenye hiyo cv si inabidi kuwe na walau ka-passport size foto?nadhani ni muhimu kupata idea mwenza anafananaje!
   
 16. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Utatupiwa jini la ushoga wenzako wakutafune
   
 17. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 267
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Umepima?
   
 18. B

  Buke Senior Member

  #18
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Atakayeruhusu nani? Aendelee kuiba hivyo hivyo!
  Ukimruhusu akikuzidi ujuzi je?!
   
Loading...