Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
Jamani naona wanawake wengi wanalalamika kuwa njia zao za uzazi sometimes ni ndogo, eti wafanye mazoezi, eti kwsbb ni mtoto wa kwanza, nk hivi vina ukweli kwa almost 20%, ila ukitaka upata mtoto vizuri, na kukwepa operation, kaa karibu na mumeo, awe na anashughulika hadi almost siku kama 4 au 3 kabla ya kuijifungua, awe anakupa mamboz, kupanua njia ya uzazi, watch out asiingize ndani sana, almost 4 inches is enough to enlarge outlet, now some positions are not good during preginancy, eg Fully Doggie is not recommened, hii itasaidia saaaaana kuongeza njia ya uzazi na kuzaa salama, sasa nasikia kuna wanawake wakiwa na mimba hawataki kumwona mumeo, ooooohhh, hapo unakaribisha operations, wacha mumeo achape chape mashine iapanuke vizuri, then mtoto mwenye afya tele huyoooooooo, na mama atakuwa safiiiiiiii