Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 454
- 1,264
Angalizo
Andiko hili lisihusishwe na madawa ya kulevya but sakata la madawa ya ndo yamefanya kuyajua haya
Katika vitu ambavyo watu wanakupenda Rais ni uwezo wako wa kuthubutu kwa masuala ambayo wewe au jamii inayatilia shaka. Makonda ameshutumiwa sana bungeni kuwa ana Mali nyingi kwa muda mchache.
Wabunge wanadai amefanya ziara Nchi za Ulaya, mfano USA, UK na south Africa kwa gharama wake. Watu wanajiuliza ametoa wapi pesa za kukaa 20 days nchi za nje.
Pili makonda anashutumiwa kuwa amejenga maghorofa mawili mwanza yenye thamani ya milioni 800. Anamiliki magari matatu ya kifahari Lexus milioni 400, Benz milioni 250, pamoja na v8. Pia anashutumiwa kununua apartment milioni 600 viva tower.
Mhe Rais hizi ni shutuma zinaweza kuwa sahihi au kwel. Kwakuwa wananchi hatujui ukweli huu..basi msimamishe Makonda na unda tume ya uchunguzi ili tujue ukweli huu.
Makonda amekosa moral authority ( haaminiki) tena kwa anaowaongoza na wananchi kwa ujumla. Ataweza VP kukemea rushwa wakati yeye mwenyewe anatuhumiwa. Makonda huyuhuyu aliunguruma Darajani/ kigamboni kuwa marehemu kabwe amepokea rushwa.
Na Rais ulimtoa kabwe kwa kashfa ya kutuhumiwa ya rushwa. Ni vyema Rais usiwe na double standard kwa Makonda mtoe naye na unda timu imchunguze amepata wapi pesa hizo.
Makonda pia anahusishwa na mtandao wa homeshoping au GSM.
Pia anatuhumiwa hana Cheti na amenunua. Vyeti vya MTU. Pia juzi usiku ameonekana kwenye CCTV akivamia clouds ili habari ya kumchafua gwajima irushwe.
Mh. Rais Kwa haya yote mtoe anaharibu image yako. Lililokataliwa duniani hata Kwa mungu limekataliwa.