Elections 2010 Kuepuka aibu..Masha!

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
4,094
4,396
Taarifa za jikoni zilizonifikia Masha akabidhi mizigo ya ukurugenzi wa Emma Advocates kwa binti Karume!! Ajiandaa kutimkia USA alikokulia!!! Hahaa aibu yake hiiiiii!
 
ITV wametangaza rasmi kwamba Wenje ameshinda kwa kura 58,000 dhidi ya 27,000 za Masha. Kweli hapo hata kuchakachua isingewezekana.
 
Good. Jamaa kama vile alijua kuwa angeshindwa maana yake alihangaika hangaika na pingamizi dhidi mpinzani wake kama hana akili nzuri :smile:
 
Hivi nilivyo mwona JK na masha kwenye kampeni na nyomi ya watu kumbe walikua wameenda kushaanga tu mkwere na wanamziki wake ila moyoni wana hasira kali!kweli watu wameamua!kabaaaaaaaaaaag
 
watapokutana
JK: pole, hiyo ni ajali tu ya kisiasa
MASHA: asante, ila. . . .
 
Habari ya zamani mwanzoni mwa kampeni wakati alipojitangazia kuwa amepita bila kupingwa
 
Mkuu utaswekwa lupango....huyu babo ni waziri wa mambo ya ndani ati...:smile:
 
Kila la heri brooooooda!!! Siku ukiachana na uchekibobu na ukaheshimu watu basi utarudi kwenye siasa. Fahamu watz sasa wanaendelea kufunguka macho kidemokrasia na walishajua kuwa hata kama utapokea rushwa yoyote hakuna anayekuona kwenye chumba cha kupigia kura "KULA CCM KURA CHADEMA". Not always, money is powerful!!! much more attributes are needed!!
 
JAmani acheni masihala ebu sikilizeni vizuri,kwa nini amesema hakuna tena uchaguzi wa mbunge nyamagana? Mnauhakika na hiyo ahbari kwamba ni ya zamani? au ndo mambo ya uchakachuaji yamefanyika?
 
mimi aliniudhi sana huyu waziri masha alivyotaka kutumia cheo chake kummaliza mtz mwenzake eti sio mtz... nawapa heko wazt wa jimbo hilo kwa kuukataa udhalimu huu...:doh::doh::doh:
 
Back
Top Bottom