Kuendelea kuungua masoko makubwa ya wafanyabiashara

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
424
1,044
Awamu ya kuchoma masoko Kama njia ya kuwaondoa Wafanyabiashara wadogowadogo kwa nguvu ili kukwepa gharama ya kuwalipa fidia kwa mujibu wa sheria kwa mgongo wa kuleta maendeleo na kuboresha miundombinu ya masoko hayo. Tunaharibu maisha ya watu wetu...so bad
 
Machinga wako mtaani wafanya biashara wa kwenye masoko wako mtaani.

Mauaji kila kukicha.

Mfumuko wa bei.

Inabidi tuiombee nchi kwa kweli.
 
una mjua aliye choma au
 
Machinga wako mtaani wafanya biashara wa kwenye masoko wako mtaani.

Mauaji kila kukicha.

Mfumuko wa bei.

Inabidi tuiombee nchi kwa kweli.
alipokuwajiwe lawama wakafurahi alipotoweka. wakizani ndio kutatua tatizo?

kumbe ni kuongeza mara dufu.

na bado
 
Awamu ya kuchoma masoko Kama njia ya kuwaondoa Wafanyabiashara wadogowadogo kwa nguvu ili kukwepa gharama ya kuwalipa fidia kwa mujibu wa sheria kwa mgongo wa kuleta maendeleo na kuboresha miundombinu ya masoko hayo. Tunaharibu maisha ya watu wetu...so bad
Leo limeungua soko la mbagala
 
Hii ya kuungua masoko inanifanya niamini ni planned events..na authorities zpo well informed na hilo ndo mana hakuna aliyeshkwa kuhisishwa na hili
 
Back
Top Bottom