KUELEWESHWA

Kitarisi

Member
Sep 6, 2017
19
20
Wakubwa naomba kujua kuwa mtu kama akisoma yale masomo ya secondary ya miaka 2 ali maarufu kama QT vipi akifaulu anaweza apply chuo coz yoyote ile ama kuna baadhi ya coz ndo itatakiwa asome!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu kuangalia matokeo yake wao kama umepita ni pass na kama umefeli ni failed sasa nashindwa kujua kuwa kama umepita unaweza kuchagua coz yoyote utakayoona ama kuna baadhi ya coz rafiki yangu unaona hapo inavyokuwa!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hebu jaribu kujiongeza, una maana usome kozi ya qt ya miaka miwili halafu uombe kozi yoyote hata udaktari, upilot, uinjinia n.k.
 
Mkuu hebu jaribu kujiongeza, una maana usome kozi ya qt ya miaka miwili halafu uombe kozi yoyote hata udaktari, upilot, uinjinia n.k.
Ndo maana nimeleta kwenu saa ndo mnisaidie kuwa hapo labda zile coz heavy heavy hamna labda ni ualimu ama ni sanaa hvyo yan maana na dukuduku ndo maana nimeletwa kwa wana JF kiongozi.
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba nitumie muda kidogo kukuelewesha kama ulivyoomba.qt ni short form ya quarifying test kwa kiswahili waweza hita jaribio la kufuzu.sasa unafuzu nini?ukishasoma kwa mwaka mmoja vidato viwili yahani chakwanza na cha pili,unapimwa kwa mtihani huo uliouzungumzia ambao matokeo yake ni ama pass au fail.ukifaulu ngazi hiyo,ndipo sasa unafuzu kusajiri/kufanya mtihani wa kidato cha nne kama pc yahani mtahiniwa binafsi.kwasasa mtihani wa kidato cha nne ni mmoja/uleule kwa watainiwa binafsi na wale wa shule yahani for both school and private candidates.hari hii inajibu automatically swali lako.kwa watainiwa binafsi kufuzu kuingia kidato cha tano sifa ni 3cs/c 3 za masomo yoyote.mtihani wa f6 pia ni mmoja kwa wote kwa sasa, hari inayofanya huyo unayemwita kimakosa qt{maana qt anakuwa alishavuka}kuwa sawa na sc mbele ya macho ya vyuo na bodi ya mikopo.nadhani umeelewa.kama unahitaji kuanza au una ndugu ni pm nikusaidie zaidi.
 
Wakubwa naomba kujua kuwa mtu kama akisoma yale masomo ya secondary ya miaka 2 ali maarufu kama QT vipi akifaulu anaweza apply chuo coz yoyote ile ama kuna baadhi ya coz ndo itatakiwa asome!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
QT
humuwezesha mtu kuwa na sifa ya kufanya mtihani wa KIDATO CHA NNE tu…
Ni sawa na mtihani wa kidato cha pili.
HIVYO QT
haimuwezeshi mtu kuomba chuo chochote kile Tz
BALI
humruhusu mtu kufanya mtihani wa kidato cha nne kama mtahiniwa wa kujitegemea (PRIVATE CANDIDATE ''PC'')

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom