Kuelekea Usawa wa Kijinsia: Kumbe 50/50 Inawezekana!, Wanawake Hao wa 50/50 Wapo!. Hongera Sana Rais Samia Kwa Kuonyesha Njia! Je 2025 Tuwaonyeshe?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,428
113,431
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu! haswa nyakati za usiku na alfajiri, hata utumie blangeti la chapa nini, au chapa nani, baridi linapenya!. Nikajiuliza hivi nchi wenye winter wanaishije?!. Hivyo tangu nimefika huku Mbeya, hata ulalie kushingilia mchele wa Kyela na maharahe ya Mbeya!, hakuna cha maharage ya Mbeya wala Mchele wa Kyela, kila alfajiri, usingizi unakata na kibaridi, hivyo nakuwa sina jinsi, bali kushika simu yangu na kuperusi mitandao.

Ile kushuka tuu JF, ndio nakutana na bandiko hili la Mkuu Lusungu UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu lenye mkeka mpya wa majaji
Habari za usiku huu, mtakapoamka pokeeni taarifa hii maana mteuaji halali wala hasinzii...

Orodha hii chini ni ya majaji wateule. Hongera nyingi kwao.View attachment 2315715View attachment 2315716View attachment 2315717
Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Huwa najiuliza kama huu mkeka umetoka time hizi, hawa watu huwa wanalala saa ngapi?!.

Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafanana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.

Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!.

Huko nyuma nilipouliza swali hili, Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?, watu humu walibeza kuwa Tanzania hatuna!, hata nilipopandisha bandiko hili, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” bado watu bado walipinga hadi pale Mungu alipo fanya kudra zake na hili likawezekana!.

Tena sisi binadamu, tunatabia ya kukana tabia mbaya zetu ili tuu tuonekane wema mbele ya watu!, mimi ni mtu wa kutoka Kanda ya Ziwa, miongoni mwa maeneo ambayo mfumo dume umegangamala, ni Kanda ya Ziwa, hivyo enzi za Blaza, tuliwa kushauri hivi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!. Kitu kingine kibaya mimi niliwahi kukishauri ni tufute wabunge wa viti maalum nikiwaitani wabunge wa kubebwa!, Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

Hivyo huu uteuzi wa 50/50 wa majaji, unathibitisha hili 50/50 ya wanawake kwenye sekta zote, linawezekana!.

Swali ni, ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu! haswa nyakati za usiku na alfajiri, hata utumie blangeti la chapa nini, baridi inapenya, hivyo tangu nimefika huku kila alfajiri, usingizi wangu unakatwa na kibaridi, hivyo nakuwa sina jinsi, bali kushika simu yangu na kuperusi mitandao.

Ile kushuka tuu JF, ndio nakutana na bandiko hili la Mkuu Lusungu UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu lenye mkeka mpya wa majaji

Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Huwa najiuliza kama huu mkeka umetoka time hizi, hawa watu huwa wanalala saa ngapi?!.

Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafanana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.

Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!.

Huko nyuma nilipouliza swali hili, Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?, wfanya kudra atu humu walibeza kuwa Tanzania hatuna!, hadi pale Mungu alipo fanya kudra zake hili likawezekana.

Uteuzi huu wa 50/50 unathibitisha hili linawezekana.

Swali

la ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
Hii ajenda ya 50/50 kwa sasa inafanywa kwa utashi binafsi. Tunahitaji mifumo kuwezesha hilo na zaidi ya hilo siku hizi tumevuka kwenye equality sasa tuko kwenye zama za Equity.

Anaweza teua apendavyo lakini kama hakutakua na uwezeshaji ki system bado itakua kazi bure maana anaeamua leo akiondoka kesho anayekuja anaweza kuanza na yake.

Hii ya kufanya vitu kwa pleasure ya mtu ni mbaya ni heri tungejikita kwenye mifumo na kufanya empawerment yakutosha.
 
Hata the most democratic nation 🇺🇸 hajawahi kuwa na mwanamke raisi, tusijifanye tunaijua demokrasia zaidi ya wenye nayo, mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi, achilia mbali kuwa raisi wa nchi.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu! haswa nyakati za usiku na alfajiri, hata utumie blangeti la chapa nini, au chapa nani, baridi linapenya!. Nikajiuliza hivi nchi wenye winter wanaishije?!. Hivyo tangu nimefika huku Mbeya, hata ulalie kushingilia mchele wa Kyela na maharahe ya Mbeya!, hakuna cha maharage ya Mbeya wala Mchele wa Kyela, kila alfajiri, usingizi unakata na kibaridi, hivyo nakuwa sina jinsi, bali kushika simu yangu na kuperusi mitandao.

Ile kushuka tuu JF, ndio nakutana na bandiko hili la Mkuu Lusungu UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu lenye mkeka mpya wa majaji

Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Huwa najiuliza kama huu mkeka umetoka time hizi, hawa watu huwa wanalala saa ngapi?!.

Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafanana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.

Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!.

Huko nyuma nilipouliza swali hili, Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?, watu humu walibeza kuwa Tanzania hatuna!, hata nilipopandisha bandiko hili, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” bado watu bado walipinga hadi pale Mungu alipo fanya kudra zake na hili likawezekana!.

Tena sisi binadamu, tunatabia ya kukana tabia mbaya zetu ili tuu tuonekane wema mbele ya watu!, mimi ni mtu wa kutoka Kanda ya Ziwa, miongoni mwa maeneo ambayo mfumo dume umegangamala, ni Kanda ya Ziwa, hivyo enzi za Blaza, tuliwa kushauri hivi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!. Kitu kingine kibaya mimi niliwahi kukishauri ni tufute wabunge wa viti maalum nikiwaitani wabunge wa kubebwa!, Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

Hivyo huu uteuzi wa 50/50 wa majaji, unathibitisha hili 50/50 ya wanawake kwenye sekta zote, linawezekana!.

Swali ni, ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
Toka nilipo gundua kuwa wew ni gamba na umekuwa ukiwashambulia Chadema na hata ukawa unasema huenda Chadema ndio walio husika kumpiga Risasi Tundu Lissu na ukawa unaandika vi makala Uchwara kuwatetea Covid19 kwa maslahi ya tumbo lako ili uonekane kada mtiifu nimekupuuza sana.Umezeeka vibaya, Hufai mzee kalale mzee pumzika mzee hizi sio zama zako tena. Watanzania wa Leo sio wale wale babu umri wako umesogea lakin umekosa busara. Upo tayari damu za watu kumwaga ili wew upate uteuzi.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu! haswa nyakati za usiku na alfajiri, hata utumie blangeti la chapa nini, au chapa nani, baridi linapenya!. Nikajiuliza hivi nchi wenye winter wanaishije?!. Hivyo tangu nimefika huku Mbeya, hata ulalie kushingilia mchele wa Kyela na maharahe ya Mbeya!, hakuna cha maharage ya Mbeya wala Mchele wa Kyela, kila alfajiri, usingizi unakata na kibaridi, hivyo nakuwa sina jinsi, bali kushika simu yangu na kuperusi mitandao.

Ile kushuka tuu JF, ndio nakutana na bandiko hili la Mkuu Lusungu UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu lenye mkeka mpya wa majaji

Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Huwa najiuliza kama huu mkeka umetoka time hizi, hawa watu huwa wanalala saa ngapi?!.

Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafanana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.

Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!.

Huko nyuma nilipouliza swali hili, Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?, watu humu walibeza kuwa Tanzania hatuna!, hata nilipopandisha bandiko hili, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” bado watu bado walipinga hadi pale Mungu alipo fanya kudra zake na hili likawezekana!.

Tena sisi binadamu, tunatabia ya kukana tabia mbaya zetu ili tuu tuonekane wema mbele ya watu!, mimi ni mtu wa kutoka Kanda ya Ziwa, miongoni mwa maeneo ambayo mfumo dume umegangamala, ni Kanda ya Ziwa, hivyo enzi za Blaza, tuliwa kushauri hivi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!. Kitu kingine kibaya mimi niliwahi kukishauri ni tufute wabunge wa viti maalum nikiwaitani wabunge wa kubebwa!, Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

Hivyo huu uteuzi wa 50/50 wa majaji, unathibitisha hili 50/50 ya wanawake kwenye sekta zote, linawezekana!.

Swali ni, ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
Leo nilikuwa namsikiliza rais Samia akizungumza baada ya kuwaapisha majaji wapya 21, kati ya majaji 22 aliowateua hivi karibuni.

Kiukweli huyu Mama ni baraka kutoka kwa Mungu!. Amezungumzia tofauti ya utoaji haki kati ya majaji wa kike na wa kiume, kile kitu nilichokisema kuhusu majaji kuwa na jicho la haki, Rais Samia ameizungumzia kuhusu majaji wanawake kutenda haki kuliko majaji wanaume, hivyo anakwenda kuteua majaji 50/50.

Akizungumzia Kamishana Mkuu wa Magereza amewataka Magereza kuwatenda vema wafungwa kwa hoja kuwa sio wafungwa wote ni wahalifu kweli, kuna wengine wanafungwa kwa circumstantial evidence lakini sio wahalifu.

Ukimsikia Samia analiagiza nini Jeshi la Magereza kuwa treat vipi wafungwa, wale mnaomkumbuka yule alitaka wafungwa wahudumiweje, mtakubaliana na mimi , Samia na yule ni mbingu na ardhi!.
Kiukweli acheni tuu Mungu aitwe Mungu!.
Ujio wa Samia ni baraka ya aina yake kwa Tanzania.
Mungu mbariki Samia
Mungu ibariki Tanzania.
P
 
Kama Mungu angeumba binadamu kwa wakati mmoja (mwanaume na mwanamke) basi 50 kwa 50 ingewezekana. Alijua haiwezikani ndio maana akaanza na Adam baadae Eva akawa ni sehemu ya mwili wa Adam. Sasa hiyo sehemu italingana na mwili mzima wa Adam? Very simple mathematics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa.

Niko huku mkoani Mbeya kwenye Nane Nane, tangu nimefika huku, nimekutana na baridi fulani ya ajabu! haswa nyakati za usiku na alfajiri, hata utumie blangeti la chapa nini, au chapa nani, baridi linapenya!. Nikajiuliza hivi nchi wenye winter wanaishije?!. Hivyo tangu nimefika huku Mbeya, hata ulalie kushingilia mchele wa Kyela na maharahe ya Mbeya!, hakuna cha maharage ya Mbeya wala Mchele wa Kyela, kila alfajiri, usingizi unakata na kibaridi, hivyo nakuwa sina jinsi, bali kushika simu yangu na kuperusi mitandao.

Ile kushuka tuu JF, ndio nakutana na bandiko hili la Mkuu Lusungu UTEUZI: Rais Samia ateua Majaji wa Mahakama Kuu lenye mkeka mpya wa majaji

Mkuu Lusungo , kwanza asante sana kwa taarifa hii, ila kwa vile mimi ni mtu wa media, natatizwa sana na hii mikeka inayotoka time hizi!. Huwa najiuliza kama huu mkeka umetoka time hizi, hawa watu huwa wanalala saa ngapi?!.

Hizi time za hii mikeka kutoka!. Hawa watu wanalala saa ngapi?!. NB, kwa nile kuna mtu aliishawahi kutanka kuwa yeye na mtu fulani wanafanana kwa uchapakazi, na kuna mchapakazi alikuwa anachapa kazi round the clock na kupelekea kuingia na mafaili hadi room!, tusiruhusu uchapakazi wa hivi kwa mtu wetu!, tutamchosha!. Kazi yes tuchape kazi, ila muda wa mambo mengine, ikiwemo muda wa kupumzika, lazima apumzike!, hata ikitokea mtu wetu hana usingizi, then aangalie hata katuni, lakini sio kwa uchapakazi huu!.

Hongera zao kwa wateuliwa, ila hongera sana kwa mteuzi, kumbe uswa wa kinsia unawezekana kabisa!, katika teuzi hizi mpya za majaji wapya 22, majiji 11 wana majina ya kiashiria cha Kike!.

Huko nyuma nilipouliza swali hili, Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?, watu humu walibeza kuwa Tanzania hatuna!, hata nilipopandisha bandiko hili, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” bado watu bado walipinga hadi pale Mungu alipo fanya kudra zake na hili likawezekana!.

Tena sisi binadamu, tunatabia ya kukana tabia mbaya zetu ili tuu tuonekane wema mbele ya watu!, mimi ni mtu wa kutoka Kanda ya Ziwa, miongoni mwa maeneo ambayo mfumo dume umegangamala, ni Kanda ya Ziwa, hivyo enzi za Blaza, tuliwa kushauri hivi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!. Kitu kingine kibaya mimi niliwahi kukishauri ni tufute wabunge wa viti maalum nikiwaitani wabunge wa kubebwa!, Je, Wabunge Viti Maalum ni wa kubebwa? Mnaonaje iwe ni awamu moja tuu kisha waendeni jimboni, kupisha wengine, au waendelee kubebwa tu?

Hivyo huu uteuzi wa 50/50 wa majaji, unathibitisha hili 50/50 ya wanawake kwenye sekta zote, linawezekana!.

Swali ni, ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
Pascal nilikuwa nakueshimu sana ila sasa naona unaanza kujivunjia eshima, Mwanamke ni kiumbe dhaifu mno kiutawala.
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.
P.
 
Wanabodi,!.

Swali ni, ili kuonyeshea kuwa hili linawezekana, Tanzania inao wanawake wenye sifa na vigezo vya kukidhi hoja ya 50/50 kila mahali, jee mnaonaje tukiutumia uchaguzi mkuu wa 2025 kuonyeshea kuwa hili linawezekana?, na likiwezekana kweli, jee kutakuwa bado na haja ya kuendelea kuwa na viti maalum?. vitakuwa ni vya nini?, si tuvifute tuu?.
Paskali.
Japo swali hili ni la zamani, lakini still liko valid, kusinge tokea lile tukio, asingekuwa!. Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi Mkuu, natoa wito, wanawake wote wenye uwezo, jitokezeni kwa wingi kuonyesha uwezo wenu kwa kugombea, nawahakikishia, Watanzania tutawachagua!.

Mimi Paskali wa Jeiefu, ninawatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku yao ya wanawake duniani hapo kesho.
Paskali
 
Back
Top Bottom