Tajiri Kichwa JF-Expert Member Apr 2, 2017 9,019 21,913 Aug 30, 2017 #1 Waziri wa fedha akionyesha kitabu cha safari ya tanzania kuelekea uchumi wa viwanda 2016-2056, kilichoandikwa na Ali Mufuruki na wenzake wa 2. Waziri mpango amesema, Mpango wa maendeleo wa miaka 5 umekumbwa na tatizo la kutaka kutatua changamoto zote za kiuchumi kwa pamoja. MWANANCHI
Waziri wa fedha akionyesha kitabu cha safari ya tanzania kuelekea uchumi wa viwanda 2016-2056, kilichoandikwa na Ali Mufuruki na wenzake wa 2. Waziri mpango amesema, Mpango wa maendeleo wa miaka 5 umekumbwa na tatizo la kutaka kutatua changamoto zote za kiuchumi kwa pamoja. MWANANCHI
babu M JF-Expert Member Mar 4, 2010 5,221 3,167 Aug 30, 2017 #2 Asante Ali Mufuruki na wenzake kwa kumuunga mkono rais Magufuli