Kuelekea uchumi wa viwanda (tanzania)

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
9,019
21,908
Screenshot_2017-08-30-09-45-19-1.png
Waziri wa fedha akionyesha kitabu cha safari ya tanzania kuelekea uchumi wa viwanda 2016-2056, kilichoandikwa na Ali Mufuruki na wenzake wa 2.

Waziri mpango amesema, Mpango wa maendeleo wa miaka 5 umekumbwa na tatizo la kutaka kutatua changamoto zote za kiuchumi kwa pamoja.

MWANANCHI
 
Asante Ali Mufuruki na wenzake kwa kumuunga mkono rais Magufuli
 
Back
Top Bottom