Kuelekea Uchambuzi na Majadiliano juu ya bajeti kuu 2021_2022,Ninaimani mambo haya yatapatiwa ufumbuzi

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
*Suala la kukatwa Tsh 10_1000 kwa watumiaji wa simu@siku._kushuka kwa watumiaji wa mtandaoo
*Suala la kushushwa faini kutoka 30000-10000_Ajali zitaongezeka sanaa
*Kupunguza na kufuta kodi halali_kushuka kwa uchumi
*Mkopo wa $500million_Deni kuongezeka
Wabunge wetu tunawaamini sana,nendeni mkawahoji hawa watu pamoja na msitakabali wa amani katika taifa letu.kwani tunaishi kwa vitisho na hofu ya ujambazi na kubakwa na vibaka.
#Tunaelekea wapi
#kazi ip inaendelea
#magemajr
#enduviko19

*
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom