Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,055
- 23,506
Katika hali isiyokua ya kawaida
jana usiku vikosi vya SMZ
viliendelea na kile kinachodaiwa
kuwa maendelezo ya vitendo vya
kuikandamiza demokrasia ya
vyama vingi na uvunjivu wa haki
za binaadamu katika maeneo
mbali mbali ya visiwa vya
Zanzibar.
Kuna matukio kadhaa wa kadhaa
ya upigaji, unyang’anyaji wa mali
na ubakaji tayari yameshajitokeza
katika visiwa vya Zanzibar.
Jana usiku mnamo milango ya saa
saba na nusu huko bububu katika
nyumba ya bwana Kombo Hamad
Salim ilivunjwa na vikosi vya sms
kwa umaarufu mazombi na
wakamchukua bwana kombo kwa
kile walichodai anaenda kuhojiwa
huku wakizichukua simu mbili
moja ya mkewe bi sana na ya
mtoto wao Aisha ili kuzichunguza.
Wakati huo huo walimdhalilisha bi
Sada kwa kumvua nguo na
kumpitishia chumba cha bunduki
katika sehem zake za siri mbele
ya watoto wake.
Kuna taarifa pia iliripotiwa huko
Mangapwani kwamba kulikua kuna
kikao cha kahawa kwa bwana
Francil Malali ambae ni mfuasi wa
CHADEMA kwa kuvamiwa na
kikosi cha kmkm waliokua
wamesheheni silaha za moto
kuvamia na kuwapiga zaidi ya
wananchi 17 na kuwanyang’anya
hadi viatu vyao na hatimae
walimuendesha kichura mzee
Mustafa mwenye umri wa miaka
59 hadi akazirai kwa kisingizio
kwamba aliwajibu ujeuri.
Katika tukio jengine jana usiku
maeneo ya Piki Pemba bibi Husna
Muhammed mwenye umri wa
miaka 32 alibakwana wanajeshi
wawili wakati akihangaika
kumtafutia mwanawe daktari
alipokua akiumwa sana. Mama
huyu alizingirwa na askari jeshi
wa JWT na wakamchukua katika
kambi yao na kumfanyie unyama
huo.
Huhohuko Pemba duru pia
zinaripoti kwamba wanajehi jana
walizungunga madrassa ya Kadiria
ya Wete mnamo saa 12 za jioni na
kuwapiga kwa mateke walimu na
wanafunzi huku wakichanachana
vitabu vya dini kwa walichodai
kuwa wanawaandaa magaidi wa
baadae.
Bado tupo katika maeneo
mbalimbali ya visiwa vya Zanzibar
na tutawajuzi kinacho endelea.
NA MWANDISHI WETU ALLY.
UMWAGAJI DAMU UMEANZA ZANZIBAR - Mzalendo.net
jana usiku vikosi vya SMZ
viliendelea na kile kinachodaiwa
kuwa maendelezo ya vitendo vya
kuikandamiza demokrasia ya
vyama vingi na uvunjivu wa haki
za binaadamu katika maeneo
mbali mbali ya visiwa vya
Zanzibar.
Kuna matukio kadhaa wa kadhaa
ya upigaji, unyang’anyaji wa mali
na ubakaji tayari yameshajitokeza
katika visiwa vya Zanzibar.
Jana usiku mnamo milango ya saa
saba na nusu huko bububu katika
nyumba ya bwana Kombo Hamad
Salim ilivunjwa na vikosi vya sms
kwa umaarufu mazombi na
wakamchukua bwana kombo kwa
kile walichodai anaenda kuhojiwa
huku wakizichukua simu mbili
moja ya mkewe bi sana na ya
mtoto wao Aisha ili kuzichunguza.
Wakati huo huo walimdhalilisha bi
Sada kwa kumvua nguo na
kumpitishia chumba cha bunduki
katika sehem zake za siri mbele
ya watoto wake.
Kuna taarifa pia iliripotiwa huko
Mangapwani kwamba kulikua kuna
kikao cha kahawa kwa bwana
Francil Malali ambae ni mfuasi wa
CHADEMA kwa kuvamiwa na
kikosi cha kmkm waliokua
wamesheheni silaha za moto
kuvamia na kuwapiga zaidi ya
wananchi 17 na kuwanyang’anya
hadi viatu vyao na hatimae
walimuendesha kichura mzee
Mustafa mwenye umri wa miaka
59 hadi akazirai kwa kisingizio
kwamba aliwajibu ujeuri.
Katika tukio jengine jana usiku
maeneo ya Piki Pemba bibi Husna
Muhammed mwenye umri wa
miaka 32 alibakwana wanajeshi
wawili wakati akihangaika
kumtafutia mwanawe daktari
alipokua akiumwa sana. Mama
huyu alizingirwa na askari jeshi
wa JWT na wakamchukua katika
kambi yao na kumfanyie unyama
huo.
Huhohuko Pemba duru pia
zinaripoti kwamba wanajehi jana
walizungunga madrassa ya Kadiria
ya Wete mnamo saa 12 za jioni na
kuwapiga kwa mateke walimu na
wanafunzi huku wakichanachana
vitabu vya dini kwa walichodai
kuwa wanawaandaa magaidi wa
baadae.
Bado tupo katika maeneo
mbalimbali ya visiwa vya Zanzibar
na tutawajuzi kinacho endelea.
NA MWANDISHI WETU ALLY.
UMWAGAJI DAMU UMEANZA ZANZIBAR - Mzalendo.net