Kuelekea uchaguzi wa TLS, figisu zaanza kanuni zatungwa kwa siri, mbunge kutoruhusiwa kugombea TLS

Fafanua zaidi hujaeleweka na mfano wa waziri haufai...fafanua kama mbunge anakuwa na conflict ipi.....
Interest ya mbunge ni kupata popularity kwa wananchi wa jimboni kwake, yeye pamoja na chama chake cha siasa ili aendelee kuchaguliwa kuwa mbunge. Hivyo atazima mijadala ya kitaaluma ambayo inaweza kumfanya yeye na chama chake kikawa unpopular, hivyo kupindisha ukweli wa kitaalamu. Atashawishi upendeleo wa huduma za kitaalamu kwenda kwenye jimbo lake. Atageuza chama cha kitaaluma kujikita kwenye propaganda za kisiasa. Anaweza hata kushawishi vyama hivi vya kitaaluma kufanya maandamano ambayo chama chake kitapata kiki ya kisiasa nk nk.
 
Mkuu, nami nimeyaona hapa mambo haya. Nitayafuatilia ili kujiridhisha. Lakini, Mawakili Wasomi tupo makini. Tutajengeana hoja na kuelewana kwa mustakabali wetu. Kama kuna ubatili utawekwa kando na uhalali utakumbatiwa.

Boss naomba muitetee TZ kwanza na sio kikundi cha watu! Please wanasheria ndo tunawategemea kwa sasa, coz kila mahali pemeharibiwa!!
 
Mbona Uyo anayejiita Nguli wa Sheria Palamagamba anajambishwa jambishwa na John Pombe?????
Huyo Palamagamba si njaa tu na kutoa mimacho....hamna cha maana anachofanya zaidi ya kukana kauli zake za kabla ya uteuzi.....
Hawa wanaojiita wanasheria wasomi..kumbe na wenyewe ni usomi wa makaratasi tu
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
Kama una akili ndogo kihivyo usiji-expose jaribu kuficha, wewe lini umekuwa Nabii ndio ujue ya 2020 au ndio mikakati ya uchakachuaji mumeshapanga tayari.

Ila mfahamu hata muibeje lkn kiuchumi hii nchi itazidi kuwafia tu hata mjitangaze kushinda by 100% ni kazi bure. It won't help you.
 
Sasa la kushangaza ni lipi.. kwanza hawezi kugombea.. alipewa cheo akawa bizi na mambo ya siasa.. hana hata moja la kukumbukiwa.. atulie tu akirudi aende jimboni kwake.. maana huko ni majanga.. na 2020 asigombee kabisa atatemwa vibaya sana. [HASHTAG]#kajitakia[/HASHTAG] [HASHTAG]#tamaayapesa[/HASHTAG] [HASHTAG]#hanauzalendo[/HASHTAG]
ngoja yatajakufika ww na watu watatoa majibu sawa sawa na unayo yatoa.muone kwanza umejawa na chuki binafsi yani watu kama nyinyi nadhani ndio wale wale mamluki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom