karanga mbichi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 269
- 222
CCM NA CHADEMA WANATEGEMEA KUPAMBANA KTK UCHAGUZI HUO.
NIONAVYO MIMI,,KWA JINSI WALIVYOFANYA MAKOSA YA MAKUSUDI CHADEMA,,,HASA HASA DIWANI BANANGA NA KATIBU WA KATA CDM,JOSEPH MREMA,,CHADEMA KUSHINDA KTK UCHAGUZI HUU UJAO ITAKUWA RAHISI SANA NGAMIA KUPITA KTK TUNDU LA SINDANO.
TAMAA ZAO NDIO ZIMETUFIKISHA HAPA.