Kuelekea uchaguzi TUCTA 30th August

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Ni wakati wa kuanza kufikili kwa nini wakuu wa kitengo cha habari kutwambia toka uchukuaji wa fomu hadi tarehe ya kurudishwa limekua zoezi lenye uficho sana.

Rai yangu kwa kua wanaharakati wote wanafahamu kwa nini kua na chomo kama hiki since ever we have t be well informed lakini kwa sasa na zikiwa zimebaki siku 5 kabala ya uchaguzi wote hatujui kulikoni na hatma ya kila kinachofanyika.

Nawaombeni people who think tuisaide jamii na hili lote limetokana na sababu kubwa ya kua kuna maandamano na madai ya msingi yatakayofanywa baada ya uchaguzi huo.Ila kwa kufikiri zaidi mpaka sasa limekuwa jambo la siri mpaka watawala wajiridhishe kuwa wagombea wote wako sawa na hawatakua tayari kupinga na wawe wanapokea na kuisaidia serikali. Mbaya zaidi eti Mgaya haruhusiwi kugombea na hakuna sababu ya msingi.

Kwa uchungu na uhalisia wa jambo hili nakuombeni kitengo na mkono mrefu wa jamvi watuletee jamvini majina ya wagombea ili nasi tujiridhishe kua ni safi.
 
Sijui kama najua, kwa ufahamu wangu ni kwamba viongozi wa tucta wanachaguliwa na viongozi wa vyama ambavyo vinaunda hilo shirikisho, lakini cha ajabu uchaguzi wa tucta unafanyika 30/08, wakati wa vyama vinavyounda tucta unafanyika kama sikosei kuanzia tar 02/09/2011
 
Mgaya mwenyewe alishawekwa sawa. Sidhani kama kuna yeyote atafurukuta baada ya vitisho vya Mgaya sasa watahakikisha mtu wao yupo pale. Na wabongo kwa kupenda vya bure watakubali kununuliwa ili mgombea wanayemtaka CCM apite.
 
Sijui kama najua, kwa ufahamu wangu ni kwamba viongozi wa tucta wanachaguliwa na viongozi wa vyama ambavyo vinaunda hilo shirikisho, lakini cha ajabu uchaguzi wa tucta unafanyika 30/08, wakati wa vyama vinavyounda tucta unafanyika kama sikosei kuanzia tar 02/09/2011

kwani hawana katiba?
 
Nimeshuhudia chaguzi za Talgwu na Raawu ndio zmefanyka dodoma last month,japo chaguzi zenyewe kulikuwa na zengwe za hapa na pale,vp chaguzi za cwt,tughe,tuico n.k
Sijui kama najua, kwa ufahamu wangu ni kwamba viongozi wa tucta wanachaguliwa na viongozi wa vyama ambavyo vinaunda hilo shirikisho, lakini cha ajabu uchaguzi wa tucta unafanyika 30/08, wakati wa vyama vinavyounda tucta unafanyika kama sikosei kuanzia tar 02/09/2011
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
the priest plz dondosha madini kwa hapa jamvini Za talgwu tuico na tughe
 
Nimeshuhudia chaguzi za Talgwu na Raawu ndio zmefanyka dodoma last month,japo chaguzi zenyewe kulikuwa na zengwe za hapa na pale,vp chaguzi za cwt,tughe,tuico n.k&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;

halafu hawa CWT mbona fomu za kugombea hawajatangaza kama wametoa?
Hawa ndio ndio kiwako cha maendeleo ya walimu.
Na ukimshamzorotesha mwalimu moja kwa moja unazorotesha elimu na ukizorotesha elimu ni msiba kwa taifa.
 
Sijui kama najua, kwa ufahamu wangu ni kwamba viongozi wa tucta wanachaguliwa na viongozi wa vyama ambavyo vinaunda hilo shirikisho, lakini cha ajabu uchaguzi wa tucta unafanyika 30/08, wakati wa vyama vinavyounda tucta unafanyika kama sikosei kuanzia tar 02/09/2011

Katibu Mkuu wa TUCTA anachaguliwa na mkutano mkuu wa TUCTA ambao wajumbe wanapatikana baada ya kuchaguliwa kutoka vyama vyote vya wafanyajazi vilisajiliwa..,mtu yoyote anaweza kugombea Ukatibu Mkuu LAKINI kule nako ni kama kumeingiliwa na siasa 'wazee' hawapendi kuona mtu kutoka nje ya kamfumo kao anapata kile kiti na kama ilivyo ada ni lazima ujiandae kwa lobbying na kampeni ya "nguvu"
 
Back
Top Bottom