Ni wakati wa kuanza kufikili kwa nini wakuu wa kitengo cha habari kutwambia toka uchukuaji wa fomu hadi tarehe ya kurudishwa limekua zoezi lenye uficho sana.
Rai yangu kwa kua wanaharakati wote wanafahamu kwa nini kua na chomo kama hiki since ever we have t be well informed lakini kwa sasa na zikiwa zimebaki siku 5 kabala ya uchaguzi wote hatujui kulikoni na hatma ya kila kinachofanyika.
Nawaombeni people who think tuisaide jamii na hili lote limetokana na sababu kubwa ya kua kuna maandamano na madai ya msingi yatakayofanywa baada ya uchaguzi huo.Ila kwa kufikiri zaidi mpaka sasa limekuwa jambo la siri mpaka watawala wajiridhishe kuwa wagombea wote wako sawa na hawatakua tayari kupinga na wawe wanapokea na kuisaidia serikali. Mbaya zaidi eti Mgaya haruhusiwi kugombea na hakuna sababu ya msingi.
Kwa uchungu na uhalisia wa jambo hili nakuombeni kitengo na mkono mrefu wa jamvi watuletee jamvini majina ya wagombea ili nasi tujiridhishe kua ni safi.