Kuelekea Uchaguzi Mkuu, watanzania tuyakumbuke maneno ya mwisho ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Ujumbe wa mwisho wa mwalimu Nyerere kwa watanzania kabla ya kuaga dunia 14 October 1999 St Thomas Hospital - Uingereza

"Najua nitakufa, Sitapona ugonjwa huu. Nawaacha watanzania wangu, Najua watalia sana Nami nitawaombea kwa Mungu, Naondoka nikiwa Nimewaachia Taifa moja lenye umoja na amani.

Wosia wangu kwao waipende nchi yao kama wanavyowapenda mama zao.

Wajue hawana Nchi nyingine zaidi ya Tanzania.

Ndugu zangu watanzania bila kujali tofauti zetu za kiitikadi, tuwe kitu kimoja ili kuulinda huu wosia wa Baba yetu wa taifa.


Naipenda Nchi yangu.

Screenshot_20200717-204729.jpeg
 
Back
Top Bottom