Kuelekea uchaguzi mkuu wa DARUSO

Jitahidini tu bavicha wasiingie ili utulivu uendelee kuwepo, Sina zaidi Mwenyekiti, migomo na maandamano imekuwa historia
Mshukuru sn BASHITE ana sakata la vyeti. Hivyo huko hata sogeza mapua yake. Lasivyo angetia mguu na kufungwa bila kupitia mahakamani au kubambikiziwa Unga kwa mwenye kiherere
 
Aisee Nyie wazee wa Chuo kikuu cha Taifa, Ivi kila mtu akija na Thread za Elections ktk Chuo chake patatosha kweli?
Au ndio mnatutambiwa sie wa Vyuo vya Kata Udom, Kairuki,KIA na SAUT
 
Daruso ijayo ituambie tunakuwaje na viwanda visivyozalisha zero maana sasa ni Tanzania ya viwanda ila mtambo unafyetua Zero
 
Back
Top Bottom