Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
mbunge ameruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara ndani ya jimbo lake
Kwa Sababu mna Tawala sawa ,ila Katiba haisemi hivyo.Halafu wewe unakaa Sinza ipi nikutafute Mkuu ?
mbunge ameruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara ndani ya jimbo lake
Nshakuona we kichwani hauko Sawambunge ameruhusiwa kufanya mkutano wa hadhara ndani ya jimbo lake
Kipenga cha kampeni kuanza kikipulizwa ndio mtajua wamefanya nini? kwa sasa endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe!Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na mbunge wa chadema mh kubenea pamoja na manispaa yangu ikiongozwa na meya wa chadema.Lakini kinachoniumiza mimi kama mtanzania myonge Tangia uchaguzi umeisha sijawahi kumuona mbunge akifanya kikao chochote ndani ya kata yangu ili kujua kero zinazotukabili sisi wananchi,sijawahi kumuona diwani toka amechaguliwa sinza na ubungo zaidi ya kuwaona kwenye magazeti wakimdhihaki na kumtukana raisi wetu ambaye kazi zake kama Rais tunaziona kama ujenzi wa barabara kutoka kijiweni hadi magomeni.
Je lengo la kuchagua kiongozi wa upinzani kama mbunge au diwani sio kumchagua ili atuletee maendeleo bali tunamchagua ili akamtukane rais au akamkejeli rais.Sisi wana sinza tunataka maendeleo
mkuu pombe na ngono vimeingiaje jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi na kejeli ulipaswa kuniambia kuwa kubenea kafanya hichi na hichi au diwani kafanya hili na lile kama mimi navyoweza kukwambia Rais anajenga reli amenunua ndege ametoa elimu bure
kwa maana hiyo hakuna haja ya kuwa na mbunge wala diwani je ahadi alizotuahidi alitudanganya je kama alijua awezi kututumikia kwanini asijiuzulu kama dhima ya uwajibikajiMbunge au Diwani hakusanyi Kodi ,Raisi sawa ana kusanya Kodi kupitia Mamlaka za Kodi hivyo elekeza Lawama zako huko..
mkuu mimi nina ushahidi wa jimbo langu nalotoka la ubunge hasa katika kata yangu ya sinzaUna ushahidi kwamba fedha za mfuko wa jimbo hao wabunge wa upinzani hawajatumia kwenye hayo mambo madogo madogo? Au umekariri ujinga kisha unauleta hapa kwa wanaume na ww uonekane upo?
kwa maana hiyo hakuna haja ya kuwa na mbunge wala diwani je ahadi alizotuahidi alitudanganya je kama alijua awezi kututumikia kwanini asijiuzulu kama dhima ya uwajibikaji
Maendeleo hayana chama!Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na mbunge wa chadema mh kubenea pamoja na manispaa yangu ikiongozwa na meya wa chadema.Lakini kinachoniumiza mimi kama mtanzania myonge Tangia uchaguzi umeisha sijawahi kumuona mbunge akifanya kikao chochote ndani ya kata yangu ili kujua kero zinazotukabili sisi wananchi,sijawahi kumuona diwani toka amechaguliwa sinza na ubungo zaidi ya kuwaona kwenye magazeti wakimdhihaki na kumtukana raisi wetu ambaye kazi zake kama Rais tunaziona kama ujenzi wa barabara kutoka kijiweni hadi magomeni.
Je lengo la kuchagua kiongozi wa upinzani kama mbunge au diwani sio kumchagua ili atuletee maendeleo bali tunamchagua ili akamtukane rais au akamkejeli rais.Sisi wana sinza tunataka maendeleo
umekurupuka, wao wameweka mkataba na diwani na wabunge wao ambo ndyo wawakilishi wao.Mbunge na diwani wako ndio wanakusanya kodi? maendeleo Waulize wanaokusanya kodi we Vipi .
Pua zako zilivyotanuka unaonekana tu unapenda ngono na ulafi ndo maana huna akili