Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020: Upinzani umefanya kitu gani?

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na mbunge wa chadema mh kubenea pamoja na manispaa yangu ikiongozwa na meya wa chadema.Lakini kinachoniumiza mimi kama mtanzania myonge Tangia uchaguzi umeisha sijawahi kumuona mbunge akifanya kikao chochote ndani ya kata yangu ili kujua kero zinazotukabili sisi wananchi,sijawahi kumuona diwani toka amechaguliwa sinza na ubungo zaidi ya kuwaona kwenye magazeti wakimdhihaki na kumtukana raisi wetu ambaye kazi zake kama Rais tunaziona kama ujenzi wa barabara kutoka kijiweni hadi magomeni.

Je lengo la kuchagua kiongozi wa upinzani kama mbunge au diwani sio kumchagua ili atuletee maendeleo bali tunamchagua ili akamtukane rais au akamkejeli rais.Sisi wana sinza tunataka maendeleo
 
Inaonyesha we we hukumchagua.waliomchagua tunaona wanapiga kazi.
 
Pua zako zilivyotanuka unaonekana tu unapenda ngono na ulafi ndo maana huna akili
mkuu pombe na ngono vimeingiaje jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi na kejeli ulipaswa kuniambia kuwa kubenea kafanya hichi na hichi au diwani kafanya hili na lile kama mimi navyoweza kukwambia Rais anajenga reli amenunua ndege ametoa elimu bure
 
Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na mbunge wa chadema mh kubenea pamoja na manispaa yangu ikiongozwa na meya wa chadema.Lakini kinachoniumiza mimi kama mtanzania myonge Tangia uchaguzi umeisha sijawahi kumuona mbunge akifanya kikao chochote ndani ya kata yangu ili kujua kero zinazotukabili sisi wananchi,sijawahi kumuona diwani toka amechaguliwa sinza na ubungo zaidi ya kuwaona kwenye magazeti wakimdhihaki na kumtukana raisi wetu ambaye kazi zake kama Rais tunaziona kama ujenzi wa barabara kutoka kijiweni hadi magomeni.

Je lengo la kuchagua kiongozi wa upinzani kama mbunge au diwani sio kumchagua ili atuletee maendeleo bali tunamchagua ili akamtukane rais au akamkejeli rais.Sisi wana sinza tunataka maendeleo
ulitaka chadema wakufanyie nin mkuu ??
serikali ya JPM chadema wanaingia vip ? ili hali mnawasweka ndan kila uchwao ?
muulize polepole utekelezaji wa ilani ya chama chenu OVA
#maendeleo hayana chama
#cc ni tanzania mpya
#utadhan ndo mmefufuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kuna pesa ya jimbo je hiyo inapelekwa wapi na kwa maana yako mbunge hana lolote analoweza kufanya sasa anamanufaa gani ya kumchagua au tunamchagua akale mshahara wa bure halikadhalika na diwani
 
Habari wakuu
Ni zaid ya miaka mitatu imepita toka uchaguzi mkuu umalizike.Mimi kama mtanzania mkazi ya sinza jimbo la ubungo kata yangu ikiongozwa na diwani wa chadema,jimbo langu likiongozwa na mbunge wa chadema mh kubenea pamoja na manispaa yangu ikiongozwa na meya wa chadema.Lakini kinachoniumiza mimi kama mtanzania myonge Tangia uchaguzi umeisha sijawahi kumuona mbunge akifanya kikao chochote ndani ya kata yangu ili kujua kero zinazotukabili sisi wananchi,sijawahi kumuona diwani toka amechaguliwa sinza na ubungo zaidi ya kuwaona kwenye magazeti wakimdhihaki na kumtukana raisi wetu ambaye kazi zake kama Rais tunaziona kama ujenzi wa barabara kutoka kijiweni hadi magomeni.

Je lengo la kuchagua kiongozi wa upinzani kama mbunge au diwani sio kumchagua ili atuletee maendeleo bali tunamchagua ili akamtukane rais au akamkejeli rais.Sisi wana sinza tunataka maendeleo
Sio hao tu coz hats Mimi naishi katika jimbo la segerea likiongozwa na mbunge wa CCM bona karua na sijaona vumbi lake hadi hiv sasa ninaandika hii nakara
 
mkuu pombe na ngono vimeingiaje jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi na kejeli ulipaswa kuniambia kuwa kubenea kafanya hichi na hichi au diwani kafanya hili na lile kama mimi navyoweza kukwambia Rais anajenga reli amenunua ndege ametoa elimu bure

Diwani ama mbunge huwa anakusanya kodi mpaka alete maendeleo? Unawadanganya wapinzani maendeleo kwani Nyerere wakati anadai uhuru alikuwa amejenga madaraja mangapi?
 
mkuu pombe na ngono vimeingiaje jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi na kejeli ulipaswa kuniambia kuwa kubenea kafanya hichi na hichi au diwani kafanya hili na lile kama mimi navyoweza kukwambia Rais anajenga reli amenunua ndege ametoa elimu bure

Ndo maana nakwambia wewe ni mzinzi na mlafi that’s huna akili ya kutofautisha mtu anaekusanya kodi na asiyekusanya kodi!! Una laana wewe nenda kapige tena bao kima wewe na huo msura wako mbovu
 
Si ungeenda kwenye ofisi ya mbunge ukatoe hayo malalamiko yako!! By the way, umeshamaliza chuo pale ifm? maana wakati ule uteuzi ulipokua umepamba moto, uliweka hadi namba ya simu.
 
Diwani ama mbunge huwa anakusanya kodi mpaka alete maendeleo? Madai maendeleo kwa Nyerere wakati anadai uhuru alikuwa amejenga madaraja mangapi?
Lakini anapewa pesa ya jimbo je anashindwa kuanzisha vikundi vya wajasiriamali na kuwawezesha kwa kuwapa mikopo yenye riba nafuu maendeleo tunayoyakusudia sio kujenga barabara hata kununua vitabu kupeleka shuleni ni maendeleo
 
Una ushahidi kwamba fedha za mfuko wa jimbo hao wabunge wa upinzani hawajatumia kwenye hayo mambo madogo madogo? Au umekariri ujinga kisha unauleta hapa kwa wanaume na ww uonekane upo?
 
mkuu kuna pesa ya jimbo je hiyo inapelekwa wapi na kwa maana yako mbunge hana lolote analoweza kufanya sasa anamanufaa gani ya kumchagua au tunamchagua akale mshahara wa bure halikadhalika na diwani

Hivi unakijua unacho kiandika kweli ?.Kwa hivyo Serikali yako ya CCM imefanya mambo ya kipumbafu kwa kuziweka hizi Nafasi ?
 
mkuu pombe na ngono vimeingiaje jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa matusi na kejeli ulipaswa kuniambia kuwa kubenea kafanya hichi na hichi au diwani kafanya hili na lile kama mimi navyoweza kukwambia Rais anajenga reli amenunua ndege ametoa elimu bure

Mbunge au Diwani hakusanyi Kodi ,Raisi sawa ana kusanya Kodi kupitia Mamlaka za Kodi hivyo elekeza Lawama zako huko..
 
Back
Top Bottom