Kuelekea uchaguzi mkuu, Ngeleja " amkumbatia" Haji Manara Bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Wakati akichangia hotuba ya bajeti mbunge wa Sengerema mh Ngeleja ametumia muda mwingi kumsifia afisa habari wa Simba Haji Manara.

Ngeleja amedai kuwa Manara ni mtu makini ambaye uwepo wake klabuni umeifanya Club ya Simba ing'ae na siyo haki kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 bila ya kumtaja Manara.

Chanzo: Channel Ten.

My take; Under the same sun pongezi kwenu pia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mimi nadhani basi sasa hivi tujisifie wananchi wooooote wa taifa hili kwa mafanikio ya taifa ili tufunge mjadala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom