Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Kwenye verification inagoma,tatizo nini?
Tengeneza account mpya weka jina + email then nenda weka password then itakuletea box la password uweke mara ya pili then chagua free plan kama hutaki kulipia account itakua tayari nenda kwenye kile kipembe tatu connect server ya nchi yoyote basi utakua umemaliza
 
Watumiaji wa mtandao wa twitter wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.

Sio tu Vodacom, nahisi mitandao yote. Yani hii nchi ndio imefika hapa jamani? Na bado kuna wachache wanadhani huyu mtu ni mzima kweli!
 
Nimesikitika kweli natumia airtel NO TWITTER SO WHWAT TO DO AS HUMAN BEING?
Screenshot_20201027-070557.png
 
Tengeneza account mpya weka jina + email then nenda weka password then itakuletea box la password uweke mara ya pili then chagua free plan kama hutaki kulipia account itakua tayari nenda kwenye kile kipembe tatu connect server ya nchi yoyote basi utakua umemaliza
Kote huko tayari nimefika verification method,kuna SMS then chini yake kuna bendera unaweza kupata option hapo sasa hapo ndo nipe way forward mkuu
 
Back
Top Bottom