Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015; Je, ni sawa kuingia kwenye uchaguzi bila Katiba Mpya?

Je, ni sawa tufanye Uchaguzi Mkuu 2015 bila Katiba Mpya?

  • Ndiyo

    Votes: 0 0.0%
  • Hapana

    Votes: 3 100.0%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,450
2,000
Wadau, leo Mzee Warioba, amekabidhi Katiba Mpya ambayo itapelekwa kwenye Bunge la Katiba kabla ya kupigwa kwa kura ya Maoni; kuikubali au kuikataa Katiba Mpya.

Naleta swali ili tupige kura ya maoni hum JF; Je, Tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 bila Katiba Mpya?
 

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,450
2,000
Wadau, karibuni tupige kura kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Tukumbuke kuwa JF ni sehemu muhimu na maarufu sana, hapa tunaweza kupata mwelekeo wa GTs kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015 na Katiba Mpya.
 

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,450
2,000
Wadau, mnawaza nini? Je, ni sawa kuibgia kwenye uchaguzi mkuu 2015 bila Katiba Mpya?
Je, hili sio suala muhimu kwa sasa, mbona mko kimya? Sio lazima kutoa maoni kwa kuposti, bali piga kura tu, yatosha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom