Elections 2010 Kuelekea uchaguzi: Jeshi lawatisha wananchi

Subirini mtavunjwa miguu Mwaka huu..MOI wameambiwa waongeze Madaktari siku ya Uchaguzi maana miguu kwisha.Kumepakuliwa rungu kubwa za Mpingo.....mwaka huu tutapata Wakimbizi wa TZ nchini Rwanda
 
Hawa watu wana matatizo.. nitawajibu. Sikumbuki lini walibadirisha jina la "JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA" na kulifanya kuwa "JESHI LA WALANCHI WA TANZANIA"?
 
Huyu ndiye mwanajeshi wa kwanza kumsikia waziwazi anawakoromea watanzania kwa ajiri ya mambo ambayo polisi ndio wana wajibu wa kuyashughulikia. Pengine ingekuwa vema tukamfahamu Gen. Shimbo ni nani. Alifikaje hapo alipo ili kujua kama ndio anataka kulipa fadhila au ameanza kujidanganya kuwa kwa nafasi aliyonayo basi amepewa haki ya umiliki wa Tanzania. Siamini ni cheo tu ndio kinachompa kiburi hicho.Na napata wasiwasi kama kazi yake anaifanya kwa misingi hii ya vitishi basi anaweza kuligawa jeshi.
 
kwanza siku hiyo ya uchaguzi chadema mutanyweshwa pombe ile mbaya kisha usiku wakati wa kuhesabu kura umeme utakatika ghafla!! Sasa huku mukiwa mumelewa chakari, na taa zimezimwa mpaka usiku wa manane ndio utarudi wakati huo mumesha lala fofofo!!! Kitaeleweka nini? Na huku mumelala?

CCM Jackass,haina hata janja yoyote na wizi wao wa kimaguvu na ww kadogo yaelekea ni wa nyumba ndogo ya mzee mwangukaji ndo maana unalopoka tu...CCM yanawaza POMBE tu instead of maisha ya mtanzania anavyotaabiki na jinsi ya kumuokoa..eti utawalewesha yaani nyumba ndogo utajua tu yanawazaga kustarehe tu...
 
Nadhani suala hili lilitakiwa lisemwe na IGP. Acha JWTZ waongee, kauli ya mwisho ni ya wananchi, wasisahau hilo.
 
Martial Law

Martial law is the imposition of military rule by military authorities over designated regions on an emergency basis—usually only temporary—when the civilian government or civilian authorities fail to function effectively (e.g., maintain order and security, and provide essential services), when there are extensive riots and protests, or when the disobedience of the law becomes widespread. In most cases, military forces are deployed to quiet the crowds, to secure government buildings and key or sensitive locations, and to maintain order
Mfano

Martial law can be used by governments to enforce their rule over the public. Such incidents may occur after a coup d'état (Thailand 2006); when threatened by popular protest (China, Tiananmen Square protests of 1989); to suppress political opposition (Poland in 1981);
 
Hehhe heheh wakaulize wenzao wa Equador yapo wapi maana prez yupo hosp kapigwa mabomu ya machozi na familia yake imepewa hifadhi kwa marafiki!
Hii ya huko mbona mjeshi ndio amemwokoa uyo raisi baada ya manjagu eti kuchoka na mambu yake,bado jeshi limempa sapoti na kuwasambaratisha polisi ,kwenye runinga inaonyesha wazi polisi wakitoka baru ,yaani polisi anaogopa mjeshi ile mbaya !!
 
Jamaa katumwa na JK..!Eti hakuna damu itakayomwagika wakati watu wameshakatana mapanga huko mwanza,tarime na kwingineko..! Yule vipi..!nway asilaumiwe ni STD 7..!
 
Baba yake Shimbo na Baba yake Kikwete walifanya kazi pamoja ,Kikwete na Shimbo wamekuwa pamoja kwa hiyo rafiki yakejakaya amemtuma aseme hayo,Alipomteua Mwamumunyange ilikuwa ni geresha mambo mengi alikuwa anamwagiza Shimbo nyuma ya mgongo wa Mwamunyange mpaka mwamunyange alipomkoromea ndipo akanza kumpa heshima yake .
Shimbo kuna mfano wa thailand and wafilipino wananchi walipoamua kuchukua nchi yao kutoka kwa wahafidhina na mafisadi hawakujali Jeshi ,Nchi hii siyo ya mamako Shimbo ni yetu sote tupo tayari kwa lolote nyakati za vitisho zilishapita.
Katiba inasema wanajeshi hamruhusiwi kuwa wanasiasa kwa hiyo munataka kuilekeza tume kwa mtutu wa buduki wa mtangaze kikwete kwamba ameshinda halafu museme akishatangazwa huwezi kupinga
SHIMBO damu ya mtanzania yeyote ikimwagika wewe ndio wa kwanza tutalala mbele na wewe,tuachie nchi yetu
huna busara kabisa waroho wa madaraka wakubwa

Ndio maana akiwa na kinywaji maongezi yake huwa yamejaa kiburi as if yeye ndio Mwamunyange in the Army, halafu huyu baba ni kati ya watu wanaofuja fedha za serikali kupitia Jeshi na mkitaka kulijua hilo muangalie alivyotumia mipesa hovyo kule Landforce Msangani -Hivi kweli anashindwa kuoanisha jinsi askari wake wanavyokufa na miherikopta mibovu iliyonunuliwa na hao mafisadi? Hivi kweli anaaamini kabisa kuwa wanajeshi wote wanapendezewa na uozo huu uliopo madarakani? Tafadhali Shimbo kula ka mhogo kako taratibu na kajinywee ka pombe kako salama vizuri na usiingilie siasa na kuleta vitisho, pia ukumbuke kuwa nguvu ya uma haiwezi kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki
 
Kwa vile Viongozi wa JWTZ wameamua kuingia katika siasa, basi tuwakaribishe, lakini inabidi watueleze mustakabali hasa wa nchi hii unakwendaje -- iwapo tunaeleke pema au pabaya.
Mimi nawaambia kwamba JK na CCM yake ndiye wanaipeleka nchi pabaya na ndiyo wastahili kukemewa kwa kutaka kuleta vurugu.

Nitatoa mfano mmoja tu: Kitendo cha JK kukumbatia na kuwasifia watuhumiwa wa ufisadi, hasa wale ambao kesi zao za ufisadi ziko mahakamani limeleta dharau kubwa kwa mahakama zetu -- na pia kuamsha hasira kubwa miongoni mwa wananchi hasa wale wenye kutambua sheria na haki ni vitu gani.Kamwe si kitendo cha utawala bora.

Wanachi hawa wana hasira sana kwa ukiukwaji mkubwa huu wa sheria. Karibuni jamvini.
 
Kwa vile Viongozi wa JWTZ wameamua kuingia katika siasa, bani tuwakaribishe, lakini inabidi watueleze mustakabali hasa wa nchi hii unakwendaje -- iwapo tunaeleke pema au pabaya.
Mimi nawaambia kwamba JK na CCM yake ndiye wanaipeleka nchi pabaya na ndiyo wastahili kukemewa kwa kutaka kuleta vurugu.

Nitatoa mfano mmoja tu: Kitendo cha JK kukumbatia na kuwasifia watuhumiwa wa ufisadi, hasa wale ambao kesi zao za ufisadi ziko mahakamani limeleta dharau kubwa kwa mahakama zetu -- na pia kuamsha hasira kubwa miongoni mwa wananchi hasa wale wenye kutambua sheria na haki ni vitu gani.Kamwe si kitendo cha utawala bora.

Wanachi hawa wana hasira sana kwa ukiukwaji mkubwa huu wa sheria. Karibuni jamvini.
Sijui rafiki yangu Reginald Mengi amejisikiaje pale JK alipomsifu RA kuwa ni mtu makini na msafi!
Ama kweli mtu akikutawala kiuchumi anakutawala hadi mawazo!...ataamua yeye useme nini, useme na nani, uvae nini, nahisi anaweza hadi kukupa ratiba ya kuwa na mkeo:A S wink::A S wink::A S wink:!
kikwete_rostam1.jpg
 
Ukweli wa mambo ni kuwa CCM wameshabaini kuwa watashindwa vibaya mwaka huu, hii siyo siri kwani hata mikutano ya JK inajaa watoto wa shule ili kutoa picha kuwa anakubalika lakini ukweli wanaujua. Kauli ya Gen. Shimbo ni MAPINDUZI YA KIJESHI DHIDI YA MATAKWA YA WATANZANIA WANAOTAKA MABADILIKO YA KISIASA.

JWZT haliwezi kamwe kubadilisha fikra za Watanzania, na Shimbo aelewe hizo silaha anazotaka kutumia kutuua kwa kutaka kusimamia haki yetu, zimenunuliwa kwa kodi zetu , kinyume na fikra zake finyu kuwa silaha hizo ni maali ya JK na genge la mafisadi wenzake akina Rostm Aziz.Shombo amelidhalilisha Jeshi kwaani sasa tunaona jeshi kama MAHENCH MEN wa JK.


NATOA USHAURI KWA VIONGOZI WOTE WA UPINZANI AMBAO WANA DHAMIRA YA KWELI YA KULETA MABADILIKO WAFANYE PRESS CONFERENCE YA NGUVU KUKEMEA MAPINDUZI HAYA YA KIJESHI DHIDI YA DEMOKRASIA, WAPELEKE TAARIFA HIZI KWENYE OFISI ZOTE ZA MABALOZI WA NCHI ZINAZOIFADHILI TZ.

NA WAELEZE WAZI WAZI KUWA KAMA KAULI HII HAITAFUTWA BASI BORA UCHAGUZI USIFANYIKE NA BADALA YAKE KIKWETE AAPISHWE TU KUWA MFALME, ILI TUOKOE FEDHA AMBAZO ZINGETUMIKA KWENYE UCHAGUZI FEKI AMBAO MATOKEO TAYARI YAKO MIKONONI MWA
JWTZ.
 
Sijui rafiki yangu Reginald Mengi amejisikiaje pale JK alipomsifu RA kuwa ni mtu makini na msafi!
Ama kweli mtu akikutawala kiuchumi anakutawala hadi mawazo!...ataamua yeye useme nini, useme na nani, uvae nini, nahisi anaweza hadi kukupa ratiba ya kuwa na mkeo:A S wink::A S wink::A S wink:!

Usemayo ni kweli. Mengi alimtaja RA kuwa ni fisadi papa na kuanzisha bifu kubwa kati yao. Sasa ni lazima Mengi aseme kitu -- iwapo anayofanya JK ni mazuri. Hata hivyo gazeti lake la Nipashe leo halina habari hiyo ya JK kumnadi RA. Sijui katika electronic media zake.
 
Ndugu yangu mengi saaizi anaogopa kuzushiwa jambo si unajua naye ana skandali zake kibao, ndiyo maana wkt fulani itv na nipashe zimetumika kupotosha watz !

usemayo ni kweli. Mengi alimtaja ra kuwa ni fisadi papa na kuanzisha bifu kubwa kati yao. Sasa ni lazima mengi aseme kitu -- iwapo anayofanya jk ni mazuri. Hata hivyo gazeti lake la nipashe leo halina habari hiyo ya jk kumnadi ra. Sijui katika electronic media zake.
 
Watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.

Nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.
 
Jeshi la Wananchi lipo nyuma ya harakati za Kikwete, ila hatima ya harakati zao ni kuipasua nchi vipande vipande, maana wako makamanda wanaoiunga mkono CHADEMA, waache wacheza na moto, waache wanasiasa wacheze siasa zao.
najua watu wanalinda vitumbua vyao, Tanzania haina viashiria vya uvunjifu amani ambavyo POLICE wameshindwa kutatua kiasi cha JWTZ KUONA HAJA YA KUTOA tAMKO. hatari iko mbele.
 
ukitafakari ya musa , utayaona ya filauni, hivi kwani nchi iko katika hali ya hatari , hadi jeshi waingilie?
 
Watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.

We acha mambo yako ya kihuni kama ya baba yako MAKAMBA,nani anaeendeleza mapanga na mabunduki kama sio fisadi mkubwa KIKWETE?Tarime umeona watu wanakufa,ni CCM FISADI
 
watanzania jamani msishabikie ujinga,leo mnaona majeshi yetu mabaya kwa kuwa mnaushabiki wa kisiasa,natakakuwaambia kama mnatka kujua nini maana ya kupotea kwa amani endeleeeni kuwashawishi watu kubeba mapanga na visu kudai udiwani na ubunge.nchi hii haiwezi kuangalia kaundi ka wachaga na wamasai wachache wanaotaka madaraka kwa nguvu kuipeleka kusiko takiwa ,mimi nazani muda umefika wote wanaotoa kauli kama za mbowe na slaa waakamatwe.
hv wengine mnafikiri kuumwa mpaka yawe marelia? Huyu anaumwa, akili yake siyo nzuri. Kwani wewe huoni jk na wanawe unaleta ukwele hapa! Nyambafu ......... Zako''@@@@
hata unaloongea hulijui wewe!
 
Hii kali, ina maana mwaka huu uchaguzi utalindwa na jeshi? Huku ni kufilisika kifikira, ni wehu, ni uendawazimu au ni kitu gani? Who is Shimbo katika mambo ya uchaguzi? Ina maana Mwema amestaafu. Atuondolee uchuro wake hapa. Yaani JWTZ ndiyo inayoshughulikia usalama wa uchaguzi? Kwani IGP anafanya nini? Ameshindwa kukamata maharamia wa Somalia na wahamiaji haramu anataka kushughulika na uchaguzi. Hii serikali ya Kikwete kweli imepinda!! Kama ndiyo hivyo, bora tu tuingie vitani wasitubabaishe hapa tushachoka na mfumo wa kibepari na kandamizi wa CCM.
mimi jana , wakati naangalia, taharifa ya habari kwa mara , ya kwanza chanel 10, nilipigwa namshangao, nikajiuliza hivi hii nchi inaelekea wapi?,IGP yuko wapi au SHIMBO ndo anakaimu, au wamechoka kazi ya kusafisa silaa, na kupanga mabomu yasije kuripuka tena, au michongoma haijarefuka,
Huu ni upuuzi, hivi, kwanza ilikuwaje hadi mkuu wa majeshi MWAMUNYANGE ampe ruksa SHIMBO , kwenda kuongeo na vyombo ya kuhusu uchanguzi, WAENDE ZAO HUKU, WATU WAZIMA HOVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom