Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Tanzania imepiga hatua kiasi gani katika kuufikia Usawa wa Kijinsia

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Tarehe ya 8(kesho) mwezi wa Tatu kila mwaka ni siku ya kumuadhimisha Mwanamke Duniani. Siku hii inatambulika katika Kalenda ya Mwaka ya Umoja wa Mataifa(UN)

Ujumbe wa mwaka huu 2020 ni; "Mimi ni Kizazi cha Usawa: Natambua Haki za Mwanamke"

Inaelezwa kuwa ujumbe hii umerandana na kampeni ya Umoja wa Mataifa Kitengo cha Wanawake (UN Women) inayohamasisha Usawa wa Kijinsia

Aidha, mwaka huu 2020, inatimia miaka 25 ya Maazimio ya Wanawake katika Mkutano Uliofanyika Beijing nchini China

=======

The theme for International Women’s Day (8 March) 2020 is, I am Generation Equality: Realizing Women’s Rights. The theme is aligned with UN Women’s new multigenerational campaign, Generation Equality, which marks the 25th anniversary of the Beijing Declaration and Platform for Action. Adopted in 1995 at the Fourth World Conference on Women in Beijing, China, the Beijing Platform for Action is recognized as the most progressive roadmap for the empowerment of women and girls, everywhere.

The year 2020 is a pivotal year for advancing gender equality worldwide, as the global community takes stock of progress made for women’s rights since the adoption of the Beijing Platform for Action. It will also mark several other galvanizing moments in the gender equality movement: a five-year milestone towards achieving the Sustainable Development Goals; the 20th anniversary of UN Security Council resolution 1325 on women, peace and security; and the 10th anniversary of UN Women’s establishment.

The emerging global consensus is that despite some progress, real change has been agonizingly slow for the majority of women and girls in the world. Today, not a single country can claim to have achieved gender equality. Multiple obstacles remain unchanged in law and in culture. Women and girls continue to be undervalued; they work more and earn less and have fewer choices; and experience multiple forms of violence at home and in public spaces. Furthermore, there is a significant threat of rollback of hard-won feminist gains.

The year 2020 represents an unmissable opportunity to mobilize global action to achieve gender equality and human rights of all women and girls.

The United Nations Observance of International Women’s Day 2020 will take place at the United Nations Secretariat in New York on Friday, 6 March 2020, from 10 a.m. to 1.00 p.m.

The Observance aims to bring together the next generations of women and girl leaders and gender equality activists with the women’s rights advocates and visionaries who were instrumental in creating the Beijing Platform for Action more than two decades ago. The event will celebrate change makers of all ages and genders and discuss how they can collectively tackle the unfinished business of empowering all women and girls in the years to come.

The Observance will include addresses by senior representatives of the United Nations system, an inter-generational dialogue with gender equality activists, and musical performances.

Visit www.unwomen.org for more information in the coming months

#WomensDay #JamiiForums #JFLeo #JamiiTalks
 
Haya mambo ya usawa wa kijinsia ndio yanatuharibia ndoa zetu, haya msaada wowote kwa afya na maisha halisi ya mwafrika. Kuna namna fulani ya mtindo wetu wa maisha ambao uko tofauti kabisa na ule wa kizungu.
Binafsi siungi mkono wazo la usawa wa kijinsia kwa sababu ni fikra potofu kwa mujibu wa utaratibu wa maisha yetu.

Pia kwa namna fulani hii fikra imepelekea kukosekana kwa maelewano na masikilizano, hivyo kupelekea ndoa nyingi kuvunjika na familia nyingi kuishi mzazi mmoja na watoto. Hivyo hupelekea watoto kukosa malezi bora na kuongeza wimbi la watoto wa mitaani.

Kuongezeka kwa single mothers wengi mitaani huko, na kuchochea ukahaba kwa baadhi ya hao single mothers.
 
Kwakweli naona si haba sana kwenye suala la usawa wa kijinsia. Elimu ya usawa inazidi kuenea kwa wanawake mbalimbali. Kizuri zaidi hata baadhi ya wanaume wamekuwa wanatetea na kushiriki kwa namna tofauti katika kuhakikisha usawa wa kijinsia unapatikana. Lakini kwa kiasi fulani naona kama wanawake wanaitumia hii dhana ya usawa vibaya.

wanahitaji usawa kwenye mambo yanayowa fever wao tu na kuna mengine magumu wanaona kama yanamstahili mwanaume peke yake. Natoa wito kwa wanajamii kuzidi kuelimisha na kufundisha kuhusu suala la usawa wa kijinsia.

Naamini hali itazidi kuwa bora kadri siku zinavyokwenda.
 
Haya mambo ya usawa wa kijinsia ndo yanatuharibia ndoa zetu,haya msaada wowote kwa afya na maisha halisi ya mwafrika. Kuna namna fulani ya mtindo wetu wa maisha ambao uko tofauti kabisa na ule wa kizungu.
Binafsi siungi mkono wazo la usawa wa kijinsia kwasababu no fikra potofu kwa mujibu wa utaratibu wa maisha yetu.

Pia kwa namna fulani hii fikra imepelekea kukosekana kwa maelewano na masikilizano,hivyo kupelekea ndoa nyingi kuvunjika na familia nyingi kuishi mzazi mmoja na watoto. Hivyo hupelekea watoto kukosa malezi bora na kuongeza wimbi la watoto wa mitaani.

Kuongezeka kwa single mothers wengi mitaani huko,na kuchochea ukahaba kwa baadhi ya hao single mothers.
Chunguza utagundua kuwa, wanawake wote wanaofanya hizi harakati ni wale wasioolewa, wenye ndoa zenye matatizo, walioachwa na waume zao au wanawatawala waume zao. Kwa ujumla ni wanawake magumegume.
 
Kwakweli naona si haba sana kwenye suala la usawa wa kijinsia. Elimu ya usawa inazidi kuenea kwa wanawake mbalimbali. Kizuri zaidi hata baadhi ya wanaume wamekuwa wanatetea na kushiriki kwa namna tofauti katika kuhakikisha usawa wa kijinsia unapatikana. Lakini kwa kiasi fulani naona kama wanawake wanaitumia hii dhana ya usawa vibaya.

wanahitaji usawa kwenye mambo yanayowa fever wao tu na kuna mengine magumu wanaona kama yanamstahili mwanaume peke yake. Natoa wito kwa wanajamii kuzidi kuelimisha na kufundisha kuhusu suala la usawa wa kijinsia.

Naamini hali itazidi kuwa bora kadri siku zinavyokwenda.
Na ndio maana hutakuta wanawake wanapigania baadhi ya mambo mfano kuchimba makaburi, kubeba majeneza maiti. Sasa utashangaa wanabagua Kuna haki wanazitaka na zingine hawazitaki
 
Chunguza utagundua kuwa, wanawake wote wanaofanya hizi harakati ni wale wenye ndoa zenye matatizo, walioachwa na waume zao au wanawatawala waume zao. Kwa ujumla ni wanawake magumegume.
Ni kweli mkuu, kwa sababu usawa wa kijinsia ni adui wa ndoa. Najua wako watakaopinga kauli hii, lakini ndio ukweli

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Tarehe ya 8(kesho) mwezi wa Tatu kila mwaka ni siku ya kumuadhimisha Mwanamke Duniani. Siku hii inatambulika katika Kalenda ya Mwaka ya Umoja wa Mataifa(UN)

Ujumbe wa mwaka huu 2020 ni; "Mimi ni Kizazi cha Usawa: Natambua Haki za Mwanamke"

Inaelezwa kuwa ujumbe hii umerandana na kampeni ya Umoja wa Mataifa Kitengo cha Wanawake (UN Women) inayohamasisha Usawa wa Kijinsia

Aidha, mwaka huu 2020, inatimia miaka 25 ya Maazimio ya Wanawake katika Mkutano Uliofanyika Beijing nchini China

=======

The theme for International Women’s Day (8 March) 2020 is, I am Generation Equality: Realizing Women’s Rights. The theme is aligned with UN Women’s new multigenerational campaign, Generation Equality, which marks the 25th anniversary of the Beijing Declaration and Platform for Action. Adopted in 1995 at the Fourth World Conference on Women in Beijing, China, the Beijing Platform for Action is recognized as the most progressive roadmap for the empowerment of women and girls, everywhere.

The year 2020 is a pivotal year for advancing gender equality worldwide, as the global community takes stock of progress made for women’s rights since the adoption of the Beijing Platform for Action. It will also mark several other galvanizing moments in the gender equality movement: a five-year milestone towards achieving the Sustainable Development Goals; the 20th anniversary of UN Security Council resolution 1325 on women, peace and security; and the 10th anniversary of UN Women’s establishment.

The emerging global consensus is that despite some progress, real change has been agonizingly slow for the majority of women and girls in the world. Today, not a single country can claim to have achieved gender equality. Multiple obstacles remain unchanged in law and in culture. Women and girls continue to be undervalued; they work more and earn less and have fewer choices; and experience multiple forms of violence at home and in public spaces. Furthermore, there is a significant threat of rollback of hard-won feminist gains.

The year 2020 represents an unmissable opportunity to mobilize global action to achieve gender equality and human rights of all women and girls.

The United Nations Observance of International Women’s Day 2020 will take place at the United Nations Secretariat in New York on Friday, 6 March 2020, from 10 a.m. to 1.00 p.m.

The Observance aims to bring together the next generations of women and girl leaders and gender equality activists with the women’s rights advocates and visionaries who were instrumental in creating the Beijing Platform for Action more than two decades ago. The event will celebrate change makers of all ages and genders and discuss how they can collectively tackle the unfinished business of empowering all women and girls in the years to come.

The Observance will include addresses by senior representatives of the United Nations system, an inter-generational dialogue with gender equality activists, and musical performances.

Visit www.unwomen.org for more information in the coming months

#WomensDay #JamiiForums #JFLeo #JamiiTalks
miaka mia mwanamke atabaki kua mwanamke na mwanaume atabaki kua mwanaume ndio asili ya maumbile ya mwanadamu kutoka kwa Muumba haya mengine ya usawa ni mipango ya shetani aliyelaaniwa...
 
Chunguza utagundua kuwa, wanawake wote wanaofanya hizi harakati ni wale wasioolewa, wenye ndoa zenye matatizo, walioachwa na waume zao au wanawatawala waume zao. Kwa ujumla ni wanawake magumegume.
Ha ha ha ha haa
 
Tarehe ya 8(kesho) mwezi wa Tatu kila mwaka ni siku ya kumuadhimisha Mwanamke Duniani. Siku hii inatambulika katika Kalenda ya Mwaka ya Umoja wa Mataifa(UN)

Ujumbe wa mwaka huu 2020 ni; "Mimi ni Kizazi cha Usawa: Natambua Haki za Mwanamke"

Inaelezwa kuwa ujumbe hii umerandana na kampeni ya Umoja wa Mataifa Kitengo cha Wanawake (UN Women) inayohamasisha Usawa wa Kijinsia

Aidha, mwaka huu 2020, inatimia miaka 25 ya Maazimio ya Wanawake katika Mkutano Uliofanyika Beijing nchini China

=======

The theme for International Women’s Day (8 March) 2020 is, I am Generation Equality: Realizing Women’s Rights. The theme is aligned with UN Women’s new multigenerational campaign, Generation Equality, which marks the 25th anniversary of the Beijing Declaration and Platform for Action. Adopted in 1995 at the Fourth World Conference on Women in Beijing, China, the Beijing Platform for Action is recognized as the most progressive roadmap for the empowerment of women and girls, everywhere.

The year 2020 is a pivotal year for advancing gender equality worldwide, as the global community takes stock of progress made for women’s rights since the adoption of the Beijing Platform for Action. It will also mark several other galvanizing moments in the gender equality movement: a five-year milestone towards achieving the Sustainable Development Goals; the 20th anniversary of UN Security Council resolution 1325 on women, peace and security; and the 10th anniversary of UN Women’s establishment.

The emerging global consensus is that despite some progress, real change has been agonizingly slow for the majority of women and girls in the world. Today, not a single country can claim to have achieved gender equality. Multiple obstacles remain unchanged in law and in culture. Women and girls continue to be undervalued; they work more and earn less and have fewer choices; and experience multiple forms of violence at home and in public spaces. Furthermore, there is a significant threat of rollback of hard-won feminist gains.

The year 2020 represents an unmissable opportunity to mobilize global action to achieve gender equality and human rights of all women and girls.

The United Nations Observance of International Women’s Day 2020 will take place at the United Nations Secretariat in New York on Friday, 6 March 2020, from 10 a.m. to 1.00 p.m.

The Observance aims to bring together the next generations of women and girl leaders and gender equality activists with the women’s rights advocates and visionaries who were instrumental in creating the Beijing Platform for Action more than two decades ago. The event will celebrate change makers of all ages and genders and discuss how they can collectively tackle the unfinished business of empowering all women and girls in the years to come.

The Observance will include addresses by senior representatives of the United Nations system, an inter-generational dialogue with gender equality activists, and musical performances.

Visit www.unwomen.org for more information in the coming months

#WomensDay #JamiiForums #JFLeo #JamiiTalks
Bado sana wameshindwa kuungana kuwa wamoja kwa sababu ya kutegemea maelekezo toka kwa viongozi wanaume.
 
Mjadala wa watoto wa kike waliopata mimba kutorudi shuleni umetuonyesha jamii yetu imefika wapi kwenye hili. Bahati mbaya hata wanawake wenyewe inaonyesha bado hawajakubali nafasi yao kwenye jamii ni zaidi ya historia ndefu ya mfumo dume ilivyowaaminisha.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom