Kuelekea Shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki, pongezi kwa Rais Magufuli!


Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,503
Likes
2,274
Points
280
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,503 2,274 280
Juzi katika pita pita zangu mjini, nikaona agizo la serikali la kutumika kwa nembo (bendera na wimbo) za Afrika Mashariki katika ofisi zote za serikali limetekelezwa vizuri. Ofisi za wizara zote hivi sasa ukiangalia pembeni mwa bendera ya taifa utakuta bendera ya Afrika Mashariki nayo inapepea. Tulivyoingia ndani kabla ya kuanza kikao ukapigwa wimbo wa taifa wa Tanzania then wimbo wa Afrika Mashariki.
Kama mtanzania na mwana afrika mashariki, nilifurahishwa sana na hilo, na ni vyema nikatoa pongezi za dhati kwa serikali ya awamu ya tano kwa hatua hiyo muhimu.
Haipendezi kuona Tanzania ilikuwa ni nchi ya kwanza kuridhia itifaki ya umoja wa fedha wa Afrika Mashariki wakati watanzania walio wengi hawajui hata bendera wala wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Isitoshe, mchakato wa kuandikwa katiba ya shirikisho la kisiasa uko full speed!
Kazi bado ni kubwa, na ni vyema serikali ikaendelea na kasi ii hii tutafika tu!
PROUDLY EAST AFRICAN!
upload_2016-7-7_23-20-11-png.364016
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
4,858
Likes
6,106
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
4,858 6,106 280
Rwanda, Burundi, Uganda kuna madikteta sasa Tanzania nae anataka kuwa kama wao. Kwa uono wangu hili ni shirikisho la madikteta watupu.
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,175
Likes
3,951
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,175 3,951 280
Rwanda, Burundi, Uganda kuna madikteta sasa Tanzania nae anataka kuwa kama wao. Kwa uono wangu hili ni shirikisho la madikteta watupu.
Hiyo ni misemo ya kimagharibi ..we are NAM and independent!
 
F

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Messages
685
Likes
338
Points
80
F

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2015
685 338 80
Hii shirikisho ya Ku solve matatizo ya kivita kwa ajili ya udikteta uchwara,,,,,useless
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,503
Likes
2,274
Points
280
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,503 2,274 280
Rwanda, Burundi, Uganda kuna madikteta sasa Tanzania nae anataka kuwa kama wao. Kwa uono wangu hili ni shirikisho la madikteta watupu.
Tofauti na Jumuiya ya enzi za Nyerere Jumuiya ya leo ni ya wananchi!
Hata hivyo.....bora hao madikteta watuingize tu then tutajipanga vizuri tukishaunda Shirikisho!
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
4,858
Likes
6,106
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
4,858 6,106 280
Tofauti na Jumuiya ya enzi za Nyerere Jumuiya ya leo ni ya wananchi!
Hata hivyo.....bora hao madikteta watuingize tu then tutajipanga vizuri tukishaunda Shirikisho!
Kuikosa sukari tu taabani, sasa ikija kuwa north korea itakuwaje?
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
13,453
Likes
10,572
Points
280
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
13,453 10,572 280
Magufuli awaalike wasomali wajiunge na jumuiya hii.
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,503
Likes
2,274
Points
280
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,503 2,274 280
Magufuli awaalike wasomali wajiunge na jumuiya hii.
Hahahaaaa.....na waje tu mbona washaomba kujiunga!
Asisahau na waethiopia pia......!!!
 
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Messages
2,503
Likes
2,274
Points
280
Cicero

Cicero

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2016
2,503 2,274 280
Kuikosa sukari tu taabani, sasa ikija kuwa north korea itakuwaje?
Shirikisho la siasa la afrika mashariki litasaidia kuwadhibiti hao madikteta ulowataja mkuu hauoni hilo?
 

Forum statistics

Threads 1,236,136
Members 475,007
Posts 29,247,953