Kuelekea pambano la mwakinyo

Mwakinyo anahitaji mwalimu mzuri zaidi kuna vitu anakosa kwa wabongo jinsi walivyo walikupenda wanvyokusifia tu bila kukupa ukweli wako anahitaji mwalimu mzur sana ikiwezekana na mwansaikolojia, hili pambano alitakiwa amalize round ya 2, mpaka ya 3, akimpata mpinzani bora zaidi atapata tabu sn.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuu.
Mfano mzuri ni yule Okwiri aliempiga mchaga bruno, jamaa anajua sana, afu yuko fasta sana. Tena kasema anahitaji sana pambano na Mwakinyo, na yuko tayari kupigana popote hata nyumbani kwa MwakinyoIla anasema Mwakinyo anamkwepa jamaa, hataki pambano nae

the Legend☆
 
Yule anafaa kuwa kipimo tosha kwa mwakinyo.. Km anamkwepa basi hajiamini, bondia mzuri lazima apate challenges..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom