Kuelekea pambano la mwakinyo

Round ya 5 mwakinyo kajirekebisha, mzee alipolegea mwakinyo kamshambulia kwa makonde mfululizo kama mvua, mzee anaenda chini anaheaabiwa mpaka 10.. Mwakinyo anakuwa kashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vivaa Mwakinyo... Vivaa Tanzania...

Bado waganda na wakongo.. lazima tupande chat ya watu wenye furaha dunian

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwakinyo anahitaji mwalimu mzuri zaidi kuna vitu anakosa kwa wabongo jinsi walivyo walikupenda wanvyokusifia tu bila kukupa ukweli wako anahitaji mwalimu mzur sana ikiwezekana na mwansaikolojia, hili pambano alitakiwa amalize round ya 2, mpaka ya 3, akimpata mpinzani bora zaidi atapata tabu sn.

Kweli jamaa anajiachia sana, yaani kuna mda mwingi anadefense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom