Kuelekea pambano la mwakinyo

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,064
80,839
Wadau wa ngumi kuelekea pambano la hassan mwakinyo huyu bondia toka kilimanjaro kimaru bruno, wamemuokotea wapi mbona kama wamemchukua kwenda kitudhalilisha tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seems alikuwa bondia mzuri zamani, wamemleta kumtengenezea rekodi nzuri mpinzani wake, haoneshi km ana mazoezi ya kutosha, anajitahidi kukwepa ila hajui kupiga ngumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom