Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Kuelekea oktoba 25; CCM kupitia upya ilani 2015-2020, JPM Akataa kupotoshwa na Lowassa.
Ni wajibu kwa CCM kuangalia maeneo ambayo kwenye ilani ya uchaguzi 2015-2020 ili kuongeza vipaumbele vya utekelezaji kuendana na spidi ya Dr.Magufuli ili kuongeza motisha ya utekelezaji ambayo italeta maendeleo ya haraka kwa wananchi. Lazima CCM ‘kureview’ ilani ili kuongeza malengo
Ni dhahiri sasa, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Magufuli kavuka lengo la utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015-2020-katika kipindi cha mwaka mmoja wa utekelezaji. Utekelezaji wa ilani mwaka wa kwanza umezidi malengo kwa kiasi kikubwa. Namba hazidanganyi..
Tumeshuhudia rekodi nzuri ya ukusanyaji kodi,usimamizi wa kiwango cha juu katika elimu,afya nk,
uimarishaji wa biashara na mahusiano na majirani (Rwanda,Uganda,DRC).
Usimamizi wa matumizi na kuziba mianya ya wizi katika bandari,TCRA,TTCL,watumishi hewa,mikopo hewa,safari za nje nk.
Kuanza utekelezaji wa kuhamisha serikali Dodoma
Uimarishaji wa usafiri , Treni,Ndege…na mambo lukuki unaweza kuyaorodhesha.
Katika kuonyesha umakini Dr.Magufuli mara kadhaa amekataa ushauri potofu wa Ndugu Lowassa na wafuasi wake wa kuwaaacha wakwepa kodi,kutowaadhibu wezi na wazembe,kutohamia Dodoma,kutoanzisha mahakama ya mafisadi nk.