Roho ya wapenzi na mashabiki wa Yanga inakubali kuidhamini Simba kwenye mikeka yao japo hata double chance Kama si direct win kwa Simba maana wanajua kitwakwimu na tatumini ya Sasa Yanga yao Ni Underdog kwa Simba.Wakati akili na moyo ukifanya hivyo ili mkamaria wa Yanga apige mihela,mwili wake Sasa unampinga kabisa kwani lazima atakuwa jukwani na jezi yake kuonesha analipenda chama lake ingawa kiuhalisia endapo Yanga akishinda na mkeka wake ukachanika hataumia sana maana ushindi wa chama lake utampa raha sana and its vise versa is true.
Pamoja na kwamba pambano la watani wa Hadi halinaga mwenyewe lakini kwa wakamaria watatumia takwimu na mwenendo wa timu zote mbili kwa Sasa ambapo kiuhalisia takwimu nyingi zinampendelea Simba na watu hawabeti kwa mahaba.
USHAURI WANGU: Katika mechi hii afadhali ubeti kinyume na mahaba yako ili ufurahie upande mmoja baada ya mechi,nikimaanisha ikiwa wewe Ni shabiki wa Yanga Basi ipe Simba ili Kama Yanga akifungwa Basi utafutwa machozi na mkeka wako na ikitokea Yanga imeshinda Basi ushindi huo utakufuta machozi ya mkeka uliochanika.
Huu Ni mtazamo wangu tu wala maneno si sheria.Bet kistaarabu and bet what you can afford to loose.
Tukutane tr.08