Kuelekea mkutano wa wahandisi 29/30, wahandisi tunahitaji chama cha wahandisi wazalendo "LOEA"

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
1,357
Points
2,000

ego

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
1,357 2,000
Ndugu zangu wahandisi watanzania "Local Engineers" tunapoelekea kwenye mkutano wa wahandisi wa mwaka utakaofanyika tarehe 29 na 30 mwezi huu tuwaze kuwa na chombo kinachoweza kutukutanisha sisi wahandisi wazalendo tujadili changamoto zetu tutizame ni kwa namna gani tunaweza kuzipatia ufumbuzi.

Binafsi huwa inaniuma sana pale ninapotazama vyombo vya habari nikasikia mtu fulani ametengeneza kitu ambacho kinachukua attention za vyombo vya habari lakini hawa wote huwa ni wale "mbumbumbu" kwenye sekita ya uhandisi kwa maana ya wote wanaochukua heading za kuvumbua vitu vya kihandisi ni darasa la saba. Sijawahi kusikia mhandisi amevumbua au kutengeneza kitu chochote. Huwa najiuliza hivi wahandisi watanzania tuna tatizo gani? Je ni kweli hatuwezi au kuna mazingira ambayo hayajakaa sawa na sisi wenyewe tunaona tatizo liko wapi? Ukitazama nchi kama china, india n.k unaona products za kihandisi za kufikirisha lakini sisi hakuna kitu.

Mimi Binafsi nimefanya kazi kwenye Construction industry kwa Karibia miaka 15, kuna mambo mengi nimejifunza kupitia sekita hii ambayo pengine watunga sera wanayaona kwa mtizamo tofauti na mimi niliyeko site. Kila mhandisi yuko kwenye sekita yake pengine kwa miaka kadhaa na wengine sekita tofauti na kila mmoja aliko anaiona sekita hiyo kwa mtizamo tofauti na walioko nje ya sekita hiyo. Ni wazi kuna haja ya sisi kukaa pamoja kujadiliana changamoto zetu na fursa zetu tuone tunaweza kwendaje mbele.

mfano

1. Wakulima wamewekewa Dirisha TIB, je Sekita kama ya Ujenzi "Construction" kweli hahiitaji dirisha TIB? au kuundiwa benki ambayo inatoa dhamana Bonds kwa wadau, inatoa mikopo kwa utaratibu maalumu kama kuwalipa suppliers wa materials n.k

2. India wakitoa mkopo kwetu katika ujenzi wanatubana wakandarasi, materials, washauri wanatoka kwao, yaani mataifa mengi ya nje yakitukopesha yanatubana vifaa mnanunua kwao au kwa washirika wao na services hivyo hivyo. Hatuna tatizo na hili ila tatizo letu ni kuona fedha zetu wenyewe hazijawekewa utaratibu. Sisi tukikusanya kodi zeti, tukikopa benki ya maendeleo ya afrika bado kazi hatutoi kipaumbele kwa watu wetu na vitu vyetu, wakandarasi watatoka nje, bidhaa zitatoka nje hata kama hapa nchini nzinazalishwa. Sisi wahandisi tuko field tunaona kila kinachofanyika kwa mataifa ya nje na wanakifanya kwa staili gani na tunao uwezo wa kutoa mapendekezo yetu kwa watunga na wasimamia sera nini cha kufanya kwa wakati gani katika hili.

3. Wahuni ndio wanabeba taswila ya wahandisi tanzania. Sekita kama ya ujenzi ni sekita ambayo ina fedha nyingi sana zinazonguka huko hasa kutoka serikalini. Fenzi kuwa nyingi kumevutia watu wengi hasa wahuni wanaoona huku kuna fedha na wanafanya kila namna kuzichota fedha hizi. wahuni hawa wamekuwa wakifanya ujanjaujanja mwingi tu, lakini ujanjaujanja huu wanaoufanya unabaki kuwa matope kwa wahandisi hasa wazalendo. Kila viongozi wakisimama kwenye majukwaa ni kuonyesha kutokuwa na imani na sisi, kila mwananchi wa kawaida akiongea ni kuonyesha wahandisi wazalendo hamna kitu. Sisi wahandisi tulioko kwenye sekita hizi tunajua matatizo yako wapi na tunaweza tukikaa pamoja kutoka na mapendekezo yatakayo turejeshea heshima na kuaminika na mbinu za kuwadhibiti wahuni wanaotuchafulia taaluma yetu.

4. Kila mwaka serikali hutoa fedha za tafiti, ni kwa bahati mbaya sana hatuoni bidhaa za kihandisi zenye kufikirisha. Labda niulize ni taasisi gani hapa nchini ambayo mhandisi anaweza kukaa mitaani akifanya shuguuli zake, akapata mawazo ya kuboresha jambo fulani au kutengeneza kitu kinachofanana na vile vinavyotengenezwa nje akakubaliwa kudhaminiwa? Taasisi tunazoziona ni zile za kufundisha na hawa wameweka ukiritimba kuwa tafiti zinafanywa na wanataasisi tu. Sasa zile product fikirishi watu wazibuni kwa fedha zao za mfukoni ?

Yapo mengi ambayo wahandisi wazalendo tunaweza kukaa kujadili na tukabadili taifa letu kiuchumi tunahitaji kuunda chama cha wahandisi wazalendo, Local Engineers Association in Tanzania (LOEAT) Tukutane mkutano wa wahandisi 29/30
 
Enlightenment

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
1,173
Points
2,000

Enlightenment

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
1,173 2,000

Mkuu una hoja nzuri, hii bodi yetu ya ERB hawajali chochote wao wanachoangalia ni namna ya kupiga hela.
 
Chrisvern

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
2,219
Points
2,000

Chrisvern

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
2,219 2,000
Binafsi huwa inaniuma sana pale ninapotazama vyombo vya habari nikasikia mtu fulani ametengeneza kitu ambacho kinachukua attention za vyombo vya habari lakini hawa wote huwa ni wale "mbumbumbu" kwenye sekita ya uhandisi kwa maana ya wote wanaochukua heading za kuvumbua vitu vya kihandisi ni darasa la saba. Sijawahi kusikia mhandisi amevumbua au kutengeneza kitu chochote. Huwa najiuliza hivi wahandisi watanzania tuna tatizo gani?
Shida yenu mko busy na mliyojifunza darasani tu, halafu wengi mnapenda sana sifa na kuwa too theoretical. Hao mbumbumbu darasa la saba wako kipractical zaidi.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
2,464
Points
2,000

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
2,464 2,000
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kuanzisha uzi wenye maono ya mbali.
Kiukweli hata Mimi huwa naumia sana kuona fani ya uhandisi inavyodharauliwa.
Kwa mfano huwa nikiona kazi za kuziba viraka vya barabara wapewa wachina ndio huwa naumia zaidi.
Kama umeweza kuchungulia nje ya box na kuliona hili Basi either una kichwa kizuri sana au uliwah kwenda nje ya Tanzania ukaona dunia inavyokwenda.
 
gwankaja

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
5,057
Points
2,000

gwankaja

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
5,057 2,000
Tatizo lenu mnaongoza kwa kuchakachua miradi..
Barabara inajengwa baada ya miezi miwili mashimo tayari, na bado mnajiita wahandisi..
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Messages
3,192
Points
2,000

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined May 30, 2012
3,192 2,000
Ndugu zangu wahandisi watanzania "Local Engineers" tunapoelekea kwenye mkutano wa wahandisi wa mwaka utakaofanyika tarehe 29 na 30 mwezi huu tuwaze kuwa na chombo kinachoweza kutukutanisha sisi wahandisi wazalendo tujadili changamoto zetu tutizame ni kwa namna gani tunaweza kuzipatia ufumbuzi.

Binafsi huwa inaniuma sana pale ninapotazama vyombo vya habari nikasikia mtu fulani ametengeneza kitu ambacho kinachukua attention za vyombo vya habari lakini hawa wote huwa ni wale "mbumbumbu" kwenye sekita ya uhandisi kwa maana ya wote wanaochukua heading za kuvumbua vitu vya kihandisi ni darasa la saba. Sijawahi kusikia mhandisi amevumbua au kutengeneza kitu chochote. Huwa najiuliza hivi wahandisi watanzania tuna tatizo gani? Je ni kweli hatuwezi au kuna mazingira ambayo hayajakaa sawa na sisi wenyewe tunaona tatizo liko wapi? Ukitazama nchi kama china, india n.k unaona products za kihandisi za kufikirisha lakini sisi hakuna kitu.

Mimi Binafsi nimefanya kazi kwenye Construction industry kwa Karibia miaka 15, kuna mambo mengi nimejifunza kupitia sekita hii ambayo pengine watunga sera wanayaona kwa mtizamo tofauti na mimi niliyeko site. Kila mhandisi yuko kwenye sekita yake pengine kwa miaka kadhaa na wengine sekita tofauti na kila mmoja aliko anaiona sekita hiyo kwa mtizamo tofauti na walioko nje ya sekita hiyo. Ni wazi kuna haja ya sisi kukaa pamoja kujadiliana changamoto zetu na fursa zetu tuone tunaweza kwendaje mbele.

mfano

1. Wakulima wamewekewa Dirisha TIB, je Sekita kama ya Ujenzi "Construction" kweli hahiitaji dirisha TIB? au kuundiwa benki ambayo inatoa dhamana Bonds kwa wadau, inatoa mikopo kwa utaratibu maalumu kama kuwalipa suppliers wa materials n.k

2. India wakitoa mkopo kwetu katika ujenzi wanatubana wakandarasi, materials, washauri wanatoka kwao, yaani mataifa mengi ya nje yakitukopesha yanatubana vifaa mnanunua kwao au kwa washirika wao na services hivyo hivyo. Hatuna tatizo na hili ila tatizo letu ni kuona fedha zetu wenyewe hazijawekewa utaratibu. Sisi tukikusanya kodi zeti, tukikopa benki ya maendeleo ya afrika bado kazi hatutoi kipaumbele kwa watu wetu na vitu vyetu, wakandarasi watatoka nje, bidhaa zitatoka nje hata kama hapa nchini nzinazalishwa. Sisi wahandisi tuko field tunaona kila kinachofanyika kwa mataifa ya nje na wanakifanya kwa staili gani na tunao uwezo wa kutoa mapendekezo yetu kwa watunga na wasimamia sera nini cha kufanya kwa wakati gani katika hili.

3. Wahuni ndio wanabeba taswila ya wahandisi tanzania. Sekita kama ya ujenzi ni sekita ambayo ina fedha nyingi sana zinazonguka huko hasa kutoka serikalini. Fenzi kuwa nyingi kumevutia watu wengi hasa wahuni wanaoona huku kuna fedha na wanafanya kila namna kuzichota fedha hizi. wahuni hawa wamekuwa wakifanya ujanjaujanja mwingi tu, lakini ujanjaujanja huu wanaoufanya unabaki kuwa matope kwa wahandisi hasa wazalendo. Kila viongozi wakisimama kwenye majukwaa ni kuonyesha kutokuwa na imani na sisi, kila mwananchi wa kawaida akiongea ni kuonyesha wahandisi wazalendo hamna kitu. Sisi wahandisi tulioko kwenye sekita hizi tunajua matatizo yako wapi na tunaweza tukikaa pamoja kutoka na mapendekezo yatakayo turejeshea heshima na kuaminika na mbinu za kuwadhibiti wahuni wanaotuchafulia taaluma yetu.

4. Kila mwaka serikali hutoa fedha za tafiti, ni kwa bahati mbaya sana hatuoni bidhaa za kihandisi zenye kufikirisha. Labda niulize ni taasisi gani hapa nchini ambayo mhandisi anaweza kukaa mitaani akifanya shuguuli zake, akapata mawazo ya kuboresha jambo fulani au kutengeneza kitu kinachofanana na vile vinavyotengenezwa nje akakubaliwa kudhaminiwa? Taasisi tunazoziona ni zile za kufundisha na hawa wameweka ukiritimba kuwa tafiti zinafanywa na wanataasisi tu. Sasa zile product fikirishi watu wazibuni kwa fedha zao za mfukoni ?

Yapo mengi ambayo wahandisi wazalendo tunaweza kukaa kujadili na tukabadili taifa letu kiuchumi tunahitaji kuunda chama cha wahandisi wazalendo, Local Engineers Association in Tanzania (LOEAT) Tukutane mkutano wa wahandisi 29/30
Chombo chetu cha ERB kiko imara kuliko tunavyodhani tatizo liko katika sehemu zifuatazo:-
1.Wahandisi wenyewe kujificha au kutokutaka kujiendeleza.
2.Ubinafsi miongoni mwa Wahandisi wazalendo.
3.Miradi mingi kufanywa na kupitia wakala wa Serikali ambapo ajira kwa Wahandisi uwa ni chache kwa kuzingatia kuwa fedha za miradi husika huolewa kwa ajili ya mafundi/labour force.
4.Uhaba wa mafunzo kwa vitendo sehemu za kazi kwa Wahandisi watarajiwa na ukosefu wa Wahandisi wa kutoa mafunzo hayo.
5.Namna ya ukadiliaji wa kodi za huduma ya Uhandisi na Ujenzi kiasi cha kusababisha makampuni mengi kutokufanya kazi na mengine kufungwa.
6.Malipo duni kwa Wahandisi au pengine kutokulipwa kabisa na Wakandarasi kwa kisingizio cha kutokulipwa na clients wao.
Nini kifanyike:-
1.Kupitia upya mikataba ya Wahandisi sehemu za kazi ikiwezekana Bodi husika isaidie katika hilo.
2.Kwa pamoja ERB,CRB na AQRB wafanye kazi kwa pamoja kwa maana kuunda ORGAN moja ya uratibu bila kuthiri Bodies hizo itakayokuwa na jukumu la kuhakikisha kazi zote za members wao zinafanywa under one roof.
3.Kuendeleza jukumu la kuandaa na kuwahamasisha vijana kupenda masomo ya Sayansi.
4.Kuiunganisha VETA kama Taasisi ndani ya Wizara ya Ujenzi ndani ya Tume ya Sayansi na Technolojia.
5.Taasisi ya Uhandisi (EIT) iunganishwe kwa maana ya kuwa ili usajiliwe ERB ,EIT itoe mapendekezo yake.
 
Ki msingi tutaweza kufanikiwa kupitia mijadala, yaani tukipata nafasi ya kujadiliana na kukubaliana

Hizi taasisi kama ERB, CRB ni vyombo vya serikali ambavyo kazi yake kubwa ni kusimamia mtizamo wa serikali kwa wahandisi. Yaani serikali kuna mambo inategemea kutoka kwa wahandisi na hayo ndiyo iliunda chombo cha kuyasimamia. Hivyo vyombo hivyo vinatimiza wajibu wao.

Lakini sasa tatizo liko kwamba kwenye ni chombo gani kinakusanya wahandisi pamoja, wao kama wao watazame changamoto zao na kuwa sauti yao ya kuwasemea wahandisi kwa serikali au general public kwamba wahandisi tuna changamoto moja mbili ndio maana pengine mchango wetu umekuwa mdogo na zikitatuliwa hizi kiuhakika tutaibadirisha jamii hii.

Kazi hii ya kuwaunganisha wahandisi ilitakiwa kufanywa na IET, lakini ni kwa bahati mbaya sana sijui kwa nini lakini IET imekuwa ni kama ERB na CRB na mengine ikionekana nayo kama government agent kama hizo. Yawezekana ni kutokana na mwingiliano uliopo kati ya ERB na IET pengine imefanya IET kuwa kama ilivyo.

Umetoa mapendekezo mengi lakini shida inakuwa ni nani anachukua mapendekezo yako hayo na kuyafanyia kazi? Je ni ERB? yawezekana katika majukumu ya kazi ya ERB wanayotumwa na wizara hili la kuchukua maoni ya wadau na kuyapeleka wizarani au katika chombo chochote haliko popote, ukiwauliza watakujibu kiutu uzima kuwa wanashughulikia lakini katika hali halisi usikute haiko hata siku moja mjumbe kutoka ERB anakwenda wizara kupeleka maoni ya wadau kama haya na hutayakuta katika ripoti zao sasa wanayatatua vipi?

Sisi tunachokitaka ni kuunda chombo ambacho kwanza kwa ule umoja wetu ni nguvu. tukishakuwa na umoja hapo sasa tumepata sauti. mfano Serikali kwa sasa inahasisha wazalendo kuchukua kazi. unakwenda kwenye mradi mkandarasi wa nje anachukua kazi akilipwa labda shilingi kadhaa ku supply materials na kujenga kitu fulani. Mkandarasi huyu anaingia mkataba na Local company kwa rate za chini sana, yaani mtu anapewa less than 50% ya bei zilizoko kwenye BOQ.

Matokeo yake ni hawa Local sub contractors kujaribu kufanya ujanja ujanja, kutafuta kufanya vitu cheap angalau waweze kupata faida huku main contractor akibaki na super profit. Mbali na kupewa kazi kwa rate kidogo, unakuta hawa locals wanakwenda wanakopa vitu kwa supplier wakitegemea wakifunga wakamaliza wanalipwa fedha na margin zao za profit zinaendana na projection hiyo. Lakini wakimaliza hawalipwi main contractor anawaambia wasubiri mpaka kazi hiyo itakapokuwa aproved na kulipwa kwenye mrdai.

Matokeo yake ni kukuta mkandarasi mkubwa akifanya kazi na subcontractor wamechoka, wakandarasi hawa ambao tunawageuza madalali wanabaki kupata super profit huku wazalendo wetu wakifanya kazi katika mazingira magumu na bado wanashindwa ku acumulate mitaji ili wakue.

Nani ana adress haya?

Hizi taasisi zilizopo zinabaki kwenye kutoa lecture kama za vyuoni na sio kutazama kilichopo on ground, kubaini changamoto zilizoibuka na kuzipeleka kwa wahusika ili zitatuliwe.

Tunataka Chombo ambacho ni Umoja wa wahandisi wazalendo ambao kupitia michango yetu wanachama tunapokumbana na changamoto huko tuliko tunawaendea wao. watakusanya takwimu kutazama tatizo liko serious kiasi gani na kukusanya maoni kuhusu nini utatuzi wa hilo na wataenda kupeleka mapendekezo yetu kwa wahusika.

Mfano tunaweza kuwalinda hawa wazalendo kwa zile kazi zinazofanywa na wazalendo zianishwe kabisa katika BOQs na mkandarasi analipwa percent ya malipo ya local kama overhead and profit.

Kwa kifupi wahandisi tunahitaji chombo cha kwetu cha kutazama changamoto zetu na kwenda kuzitafutia majibu kunakohusika.

Awamu hii ni fursa ambayo wahandisi tukibainisha changamoto zetu unaona kabisa huko juu kuna hamu na nia kabisa ya kutuwekea mazingira bora ya kufanya kazi ilimradi tuwe tayari kuleta mabadiriko ya kweli.
 
Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
2,803
Points
2,000

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
2,803 2,000
Mawazo mazuri mkuu, Mimi binafsi nayaunga mkono
Kuhusu sherehe za mwaka huu nadhani wamekosea kuunganisha na wasanifu majengo na maQs, naona kama itakosa mvuto hivi
Yote kheri lakini
 
Ni vizuri kujenga hoja ili kutatua changamoto,sekta ya Ujenzi ni mojawapo ya muhimili muhimu katika uchumi wa nchi.
Jambo lililohitajika kwa sasa si tu kuwaunganisha Wahandisi pekee bali kuunganisha sekta nyingine mtambuka katika Ujenzi ili changamoto zinazokinzana kupatiwa ufumbuzi.
Kwa kuanzia bodi husika ERB,CRB na AQRB wameandaa semina elekezi ya nini kifanyike ili Tanzania hii na ijayo ya Viwanda na Uwekezaji hasa katika kubuni na kujenga miundombinu yenye tija na kukidhi thamani ya pesa ilivyo/itakavyokuwa hapo baadae.

Lakini pia ni fursa muhimu ya wadau wa Ujenzi kukutana na kubadilishana mawazo,uzoefu na kujiuliza ni kitu gani pengine kinachowakwamisha na Je wanaofanikiwa wamefanzaje.
Ni matumaini yangu kuwa juhudi hizi za mwanzo zitafanikiwa kuifanya sekta ya Ujenzi hususani Wahandisi, Wabunifu na wakadiriaji majengo kwa pamoja kuishauri Serikali kurekebisha kasoro/kama zipo ili kukuza Uchumi.
 
kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
22,812
Points
2,000

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
22,812 2,000
Ndugu zangu wahandisi watanzania "Local Engineers" tunapoelekea kwenye mkutano wa wahandisi wa mwaka utakaofanyika tarehe 29 na 30 mwezi huu tuwaze kuwa na chombo kinachoweza kutukutanisha sisi wahandisi wazalendo tujadili changamoto zetu tutizame ni kwa namna gani tunaweza kuzipatia ufumbuzi.
Umesoma lakini hujaerevuka
Ndio.mana.hampata kazi.kubwa kubwa you are too infirior,mnawaza kujetenga tenga tu,changamoto ni zile.zile
 
SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
4,704
Points
2,000

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
4,704 2,000
Mwaka huu sitohudhuria kutokana na majukumu lakini PDU tayari nimevuka 30 za mwaka huu.
Lakini kiukweli wahandisi tuna kazi kubwa sana ya kuijenga nchi yetu.
Kuhusu vumbuzi zinazofanywa na darasa la saba ni sawa lakini usiseme kuwa hakuna wahandisi ambao hawafanyi mambo. Unajua ni rahisi sana kutoa habari za yule ambaye hajaenda shule kuliko yule ambaye ni Engineer. Engineer akifanya kitu hata kiwe kikubwa vipi ni kwasababu amesoma tofauti na yule ambaye hajaenda shule lazima watu watataka kujua amefanya nini.
Nina mifano mizuri sana ya vitu vilivyofanywa na wahindisi.
 
Wahandisi tunataka fedha zinazopelekwa tume ya sayansi kufanya utafiti itengwe sehemu ya fedha hizo kudhamini utengenezaji wa vitu halisi na sio maandishi tu.

Tusibaki kwenye kuongea nadhalia tu kuwa wahandisi wamefanya mambo makubwa bali tuwaonyeshe jamii nini tumefanya naamini hiyo inawezekana
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
8,106
Points
2,000

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
8,106 2,000
Ndugu zangu wahandisi watanzania "Local Engineers" tunapoelekea kwenye mkutano wa wahandisi wa mwaka utakaofanyika tarehe 29 na 30 mwezi huu tuwaze kuwa na chombo kinachoweza kutukutanisha sisi wahandisi wazalendo tujadili changamoto zetu tutizame ni kwa namna gani tunaweza kuzipatia ufumbuzi.

Binafsi huwa inaniuma sana pale ninapotazama vyombo vya habari nikasikia mtu fulani ametengeneza kitu ambacho kinachukua attention za vyombo vya habari lakini hawa wote huwa ni wale "mbumbumbu" kwenye sekita ya uhandisi kwa maana ya wote wanaochukua heading za kuvumbua vitu vya kihandisi ni darasa la saba. Sijawahi kusikia mhandisi amevumbua au kutengeneza kitu chochote. Huwa najiuliza hivi wahandisi watanzania tuna tatizo gani? Je ni kweli hatuwezi au kuna mazingira ambayo hayajakaa sawa na sisi wenyewe tunaona tatizo liko wapi? Ukitazama nchi kama china, india n.k unaona products za kihandisi za kufikirisha lakini sisi hakuna kitu.

Mimi Binafsi nimefanya kazi kwenye Construction industry kwa Karibia miaka 15, kuna mambo mengi nimejifunza kupitia sekita hii ambayo pengine watunga sera wanayaona kwa mtizamo tofauti na mimi niliyeko site. Kila mhandisi yuko kwenye sekita yake pengine kwa miaka kadhaa na wengine sekita tofauti na kila mmoja aliko anaiona sekita hiyo kwa mtizamo tofauti na walioko nje ya sekita hiyo. Ni wazi kuna haja ya sisi kukaa pamoja kujadiliana changamoto zetu na fursa zetu tuone tunaweza kwendaje mbele.

mfano

1. Wakulima wamewekewa Dirisha TIB, je Sekita kama ya Ujenzi "Construction" kweli hahiitaji dirisha TIB? au kuundiwa benki ambayo inatoa dhamana Bonds kwa wadau, inatoa mikopo kwa utaratibu maalumu kama kuwalipa suppliers wa materials n.k

2. India wakitoa mkopo kwetu katika ujenzi wanatubana wakandarasi, materials, washauri wanatoka kwao, yaani mataifa mengi ya nje yakitukopesha yanatubana vifaa mnanunua kwao au kwa washirika wao na services hivyo hivyo. Hatuna tatizo na hili ila tatizo letu ni kuona fedha zetu wenyewe hazijawekewa utaratibu. Sisi tukikusanya kodi zeti, tukikopa benki ya maendeleo ya afrika bado kazi hatutoi kipaumbele kwa watu wetu na vitu vyetu, wakandarasi watatoka nje, bidhaa zitatoka nje hata kama hapa nchini nzinazalishwa. Sisi wahandisi tuko field tunaona kila kinachofanyika kwa mataifa ya nje na wanakifanya kwa staili gani na tunao uwezo wa kutoa mapendekezo yetu kwa watunga na wasimamia sera nini cha kufanya kwa wakati gani katika hili.

3. Wahuni ndio wanabeba taswila ya wahandisi tanzania. Sekita kama ya ujenzi ni sekita ambayo ina fedha nyingi sana zinazonguka huko hasa kutoka serikalini. Fenzi kuwa nyingi kumevutia watu wengi hasa wahuni wanaoona huku kuna fedha na wanafanya kila namna kuzichota fedha hizi. wahuni hawa wamekuwa wakifanya ujanjaujanja mwingi tu, lakini ujanjaujanja huu wanaoufanya unabaki kuwa matope kwa wahandisi hasa wazalendo. Kila viongozi wakisimama kwenye majukwaa ni kuonyesha kutokuwa na imani na sisi, kila mwananchi wa kawaida akiongea ni kuonyesha wahandisi wazalendo hamna kitu. Sisi wahandisi tulioko kwenye sekita hizi tunajua matatizo yako wapi na tunaweza tukikaa pamoja kutoka na mapendekezo yatakayo turejeshea heshima na kuaminika na mbinu za kuwadhibiti wahuni wanaotuchafulia taaluma yetu.

4. Kila mwaka serikali hutoa fedha za tafiti, ni kwa bahati mbaya sana hatuoni bidhaa za kihandisi zenye kufikirisha. Labda niulize ni taasisi gani hapa nchini ambayo mhandisi anaweza kukaa mitaani akifanya shuguuli zake, akapata mawazo ya kuboresha jambo fulani au kutengeneza kitu kinachofanana na vile vinavyotengenezwa nje akakubaliwa kudhaminiwa? Taasisi tunazoziona ni zile za kufundisha na hawa wameweka ukiritimba kuwa tafiti zinafanywa na wanataasisi tu. Sasa zile product fikirishi watu wazibuni kwa fedha zao za mfukoni ?

Yapo mengi ambayo wahandisi wazalendo tunaweza kukaa kujadili na tukabadili taifa letu kiuchumi tunahitaji kuunda chama cha wahandisi wazalendo, Local Engineers Association in Tanzania (LOEAT) Tukutane mkutano wa wahandisi 29/30
Vyama vinakua vingi mno mpaka vinachanganya!

Innovation ya mtu haihitaji “chama” fulani!
 
ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
1,357
Points
2,000

ego

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2013
1,357 2,000
Vyama vinakua vingi mno mpaka vinachanganya!

Innovation ya mtu haihitaji “chama” fulani!
Ndugu yangu kuna mambo ya kufanya pamoja na hayo mtu mmoja mmoja hayawezi na kuna mambo ya kufanya mtu mmoja mmoja.

Chama kinakuwepo kutetea maslahi ya wahandisi
 
Forum statistics

Threads 1,391,791
Members 528,461
Posts 34,089,260
Top