Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

Usikariri

Katiba mpya sio muarobaini wa hayo unayoeleza.

Mtawala au Raia asieheshimu Katiba ya sasa hawezi kuheshimu katiba mpya kwa kuwa hakuna mechanism ya automatic ya kufanya aitekeleze.

Rejea nchi zenye katiba mpya jee Rushwa imeisha, mf Kenya?
Mimi pia mwana CCM ila nataka katiba ile ya Warioba iwe instituted...Tuacheni usanii nchi hii kuna mambo hayafurahishi hasa ya waliopewa dhamana kutanguliza maslahi yao mbele na wapendwa wao huku waliowengi wakibakia kama watazamaji wa mpira uwanjani. Kuna watu wamejipa uhalali wakuwa raia zaidi ya wengine na maamuzi yao ndiyo mwisho, hawataki kuulizwa wala hawataki kuwajibishwa wanapokengeuka.
 
Hawaendi kubadili Katiba ya Chama ya 1977 wanaenda kuiboresha tu

Pengine unadai Katiba mpya kwa kuwa hujui ya sasa pia inaweza kuboreshwa ku accomodate hivyo vipengele mtakavyo
Kutoifahamu Katiba ya Sasa kunahalalishaje kutoipata Katiba mpya?Tuache kuwakisia wengine kwamba hawafahamu mambo tunayoyafahamu.
Mnaogopa nini kuandika Katiba mpya?Hamkosi visingizio nyie?
 
Usikariri

Katiba mpya sio muarobaini wa hayo unayoeleza.

Mtawala au Raia asieheshimu Katiba ya sasa hawezi kuheshimu katiba mpya kwa kuwa hakuna mechanism ya automatic ya kufanya aitekeleze.

Rejea nchi zenye katiba mpya jee Rushwa imeisha, mf Kenya?
Unahalalisha mambo mabaya kwa kisingizio cha wengine kukosea?Hatutafuti Katiba mpya kupiga vita rushwa tu,Katiba ndiyo sheria mama na Rais au kiongozi yeyote asiyeheshimu Katiba atawajibishwa kwa mujibu Wa Katiba.
 
Wajinga 2000 wanaenda kubadili katiba yao ila ya wananchi tusubiri after 2025!Wanaogopa kivuli chao wenyewe.
Sisi wananchi Wa Tanzania tunataka kuandika Katiba mpya ya JMT.Hayo ya mkutano Wa Siku rasmi ya wajinga tuwaachie wenyewe.
Yawezekana kabisa,CCM ni tembo mkubwa mno anayepita kwenye daraja kukuu la mbao kwa ubishi tu.Nisikilize kishindo !!!!
 
Back
Top Bottom