Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

Chama kilichokosa ushawishi..kinajificha kwenye vyombo vya dola..na katiba ilojichokea..ikiongozwa na tume ya hovyo ya uchaguzi.

Kwenye free and fair groud ya kisiasa chama cha kijani hakina nguvu yoyote wala uwezo wa kushinda chaguzi.

Zimebaki propaganda uchwara tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeota Bwana Bernard Membe ataibukia kwenye huo mkutano.

Baadaye sitashangaa akijumuishwa serikalini kabla awamu ya 6 haijaisha.
 
Tanzania tumebahatika sana mama Samia ni Rais. Jest imegin bwana yule angeendelea kuwa Rais hadi leo.

Licha ya hali ya uchumi kuwa mbaya na mfumuko wa bei duniani kote kuwa juu ila nchini kuna utu hofu imetoweka.
 
Tanzania tumebahatika sana mama Samia ni Rais. Jest imegin bwana yule angeendelea kuwa Rais hadi leo. Licha ya hali ya uchumi kuwa mbaya na mfumuko wa bei duniani kote kuwa juu ila nchini kuna utu hofu imetoweka.
Unakula utu? Kwanini uwe na hofu kama wewe si mhalifu? Mhuni?
 
Kumekucha wana CCM wenzangu, ile hoja yetu ya kutenganisha kofia muda muafaka ndiyo huu.
 
Tunapoelekea karne toka nchi imepata Uhuru na nusu karne toka CCM imezaliwa bado Taifa lina kumbukumbu isiyofutika ya uzuri wa CCM.

CCM kikiwa ndicho chama pekee chenye itikadi isiyokufa ya Uafrika na Utanzania nayo ni Ujamaa kimefanikiwa kutuvusha kwenye nyakati za raha na tabu.
Kwahakika umenena kweli yote, CCM juu!
 
Kuna nini cha AJABU Zaidi ya KUOGOPA KATIBA MPYA?
Wajinga 2000 wanaenda kubadili katiba yao ila ya wananchi tusubiri after 2025!Wanaogopa kivuli chao wenyewe.
Sisi wananchi Wa Tanzania tunataka kuandika Katiba mpya ya JMT.Hayo ya mkutano Wa Siku rasmi ya wajinga tuwaachie wenyewe.
 
Aprili 01, 2022 kunafanyika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma utakaokuwa na kazi maalum ya kufanya marekebisho ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2020. Wajumbe Karibuni Dodoma, Dodoma Kuchele!!!!

IMG-20220329-WA0033.jpg


IMG-20220329-WA0032.jpg


IMG-20220329-WA0031.jpg
 
Utajuaje thamani ya Baba wakati hata Baba yako bado ana baba yake!

Thamani ya Baba kamuulize Yatima

Thamani ya CCM utaijuaje wakati kila kitu kinaenda vyema hata ukienda kulala usiku una hakikisha simu na charger vipo pembeni ya kitanda wakati wenzio burundi na kule Somalia wanahakikisha pembeni wamelala na Rungu au Jambia wakihofia usalama wewe hata pini ya kujilinda dhidi ya Wahalifu huna kwa kuwa amani na usalama umeimarishwa
CCM ni zao la ujinga wa watanzania. By any standards CCM ilipaswa iwe chama kilichosahaulika.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hawaendi kubadili Katiba ya Chama ya 1977 wanaenda kuiboresha tu

Pengine unadai Katiba mpya kwa kuwa hujui ya sasa pia inaweza kuboreshwa ku accomodate hivyo vipengele mtakavyo

Wajinga 2000 wanaenda kubadili katiba yao ila ya wananchi tusubiri after 2025!Wanaogopa kivuli chao wenyewe.
Sisi wananchi Wa Tanzania tunataka kuandika Katiba mpya ya JMT.Hayo ya mkutano Wa Siku rasmi ya wajinga tuwaachie wenyewe.
 
Hawaendi kubadili Katiba ya Chama ya 1977 wanaenda kuiboresha tu

Pengine unadai Katiba mpya kwa kuwa hujui ya sasa pia inaweza kuboreshwa ku accomodate hivyo vipengele mtakavyo
Mimi pia mwana CCM ila nataka katiba ile ya Warioba iwe instituted...Tuacheni usanii nchi hii kuna mambo hayafurahishi hasa ya waliopewa dhamana kutanguliza maslahi yao mbele na wapendwa wao huku waliowengi wakibakia kama watazamaji wa mpira uwanjani. Kuna watu wamejipa uhalali wakuwa raia zaidi ya wengine na maamuzi yao ndiyo mwisho, hawataki kuulizwa wala hawataki kuwajibishwa wanapokengeuka.
 
Back
Top Bottom