Kuelekea Mechi yake na Prisons FC Kombe la FA Kesho hofu yatanda Kikosini baaada ya Wachezaji hawa muhimu Kukosekana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
1. Tonombe Mukoko
2. Feisal Salum
3. Michael Sarpong

Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa Waandamizi niluowataja hapa Juu.

Kama 'Clip' ya Prisons FC niliyonayo ndivyo ambavyo watafanya Kesho wakicheza na Yanga SC, basi leo hii hii nawapongeza Prisons FC kwa Kutinga ASFC Semi Finals.

Kuna zoezi moja nimeliona leo na kama Mchezaji wa Yanga SC Tuisila Kisinda asipokuwa makini huenda Kesho akaishia tu ICU na akifanya mchezo hata Motuary kwa Rafu za 'Kigwaride' atakazopigwa na Wachezaji wa Yanga SC.
 
Mikia kati ya match mbili vpl wamepata point 1 .yanga match mbili amepata point 4. Je nani huwa hatoboi kwa prison?
 
Uto bwana! Eti analinganisha points alizovuna kwa prisons dhidi ya mnyama? Kwani ulimfunga mechi gani huyu mjeda? Ya sumbawanga ama kwa mkapa? Vp kuhusu msimamo ukoje, tuanze na hilo tu.
 
Yanga km yanga
JamiiForums1688781925.jpg
 
Kandambili naskia tumeshawabeba kimataifa next season, wacha wakapambane na Mamelodi wapigwe saba.
 
Safari ya Yanga inaisha leo labda kama kutakuwa na mbeleko ya Marefarii

Nawatakia kila la kheri Prisons, hii ni safari ya kupanda ndege kimataifa waliyowahi kuipitia Namungo msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom