Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Wa Tanzania sio wazalendo kabisa kila media ukifungua yaan waandishi wa habari za michezo wengi wana amini simba inafungwa na vita ....sijui wanapenda sana kuona simba ikifungwa... Kiukweli kufanya hivyo ni wazi tuna washusha morali wachezaji wa club ya simba
 
Wafanye vyovyote lakini Do Or Die Walianza kwa Mbabane, Nkana, Js Saoura, Al Alhy na hawakufua dafu.

Taifa ni machinjio ya Wagagagigikoko wote
 
DoOrDie
IMG_20190315_133156_067.jpeg
 
Kama unakiri kuwa Mo ni tajiri sasa yeye amewekeza Njombe Mji? Halafu hivi hujajua tu kuwa Simba SC ni Kampuni..!

Mkuu endelea kuchangisha tu huko kwako, hatufanani na nyie asilan.SimbaNguvuMoja
Hivi matajiri ni Simba au Mo Dewji ndio tajiri? Simba ina asset gani zaidi ya like gofu pale msimbazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Matola Gari ndo limewaka usitarajie kufulia Simba SC, kila mwaka mambo yatazidi kuongezeka

Nia ni kuifanya Simba kuwa kwenye level za Alhy, TMazembe kiuwekezaji au zaidi.
Mo mashamba ya mkonge serikali wameyachukua..hati kaweka bond bank $250m..Mzee baba anataka hati..kimbembe
 
Back
Top Bottom