luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,868
Wa Tanzania sio wazalendo kabisa kila media ukifungua yaan waandishi wa habari za michezo wengi wana amini simba inafungwa na vita ....sijui wanapenda sana kuona simba ikifungwa... Kiukweli kufanya hivyo ni wazi tuna washusha morali wachezaji wa club ya simba