Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
- Thread starter
- #101
Acheni kusikiliza maneno ya mitaani. Huyo hapo Okwi aloshika kiuno na Nyoni, Jouko wote wamefanya mazoezi leo..NguvuMojaSimba kumbukeni Okwi,Juko, Mkude, Nyoni hawapo sasa huo ushindi bila hawa watu msahau aiseee......Okwi bado anamgomo anataka pesaaa zake
Sent using Jamii Forums mobile app