Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

Punguza bangi, Kenya inawakilishwa na Harambee stars Afcon na Uganda inawakilishwa na The cranes Afcon, Simba inawakilisha wana msimbazi, Simba siyo Taifa stars, timu ya Taifa imeshatangazwa na ina wachezaji watatu tu wa Simba

Mtanzania hawezi kuwakilishwa na Okwi, Kagere na Chama huu utakuwa ni utaahira, labda tu useme Simba inatekeleza ilani ya serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa Hao kina Okwi wanawakilisha hii michuano kupitia TFF ya Kenya au Uganda?
 
Hayo ni maeneo ambayo utapata tiketi mkuu...SimbaNguvuMoja
Tiketi zapatikana wapi mkuu?
IMG_20190313_173539_040.jpeg
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom