Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'


Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
18,452
Likes
54,036
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
18,452 54,036 280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,501
Likes
10,471
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,501 10,471 280
Mwana Mtoka Pabaya Kuhusu alama 7 ni kutokana kupata sare kwahivyo nimezungumzia kuhusu ushindi tu..!

Yote kwa yote hii gemu tunashinda, waarabu tuliwaanika juani na Nkana FC nao..!
Nkana weusi kama makalio yangu babu, jua kwao sio tatizo. Asije akazimia Kagere
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,501
Likes
10,471
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,501 10,471 280
Kucheza kwa Okwi lazima daktari athibitishe kuwa yuko sawa na Kocha aamue kumpanga..

Kwahivyo tusubiri siku bado tatu za utimamu wa mwili
Mwambieni Moo ampe teenager Okwi mpunga wake tushinde mechi.
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
10,112
Likes
13,345
Points
280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
10,112 13,345 280
Hivi Mashujaa ilikuwa michuano ya Kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika?

Embu kuweni na akili kidogo na someni kilichoandikwa vizuri na mtoe hoja zenye mantiki.
Kwani Kuna Mshabiki wa Chura aliye na akili?
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
10,112
Likes
13,345
Points
280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
10,112 13,345 280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
10,112
Likes
13,345
Points
280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
10,112 13,345 280
Punguza bangi, Kenya inawakilishwa na Harambee stars Afcon na Uganda inawakilishwa na The cranes Afcon, Simba inawakilisha wana msimbazi, Simba siyo Taifa stars, timu ya Taifa imeshatangazwa na ina wachezaji watatu tu wa Simba

Mtanzania hawezi kuwakilishwa na Okwi, Kagere na Chama huu utakuwa ni utaahira, labda tu useme Simba inatekeleza ilani ya serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Hao kina Okwi wanawakilisha hii michuano kupitia TFF ya Kenya au Uganda?
 

Forum statistics

Threads 1,272,369
Members 489,924
Posts 30,449,122