Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Muda mwingine Wabongo hatupo makini kabisa tunawalaumu NIDA bure, hili zoezi toka limetangazwa watu walikuwa hawana muda nalo kabisa ukifika ofisi za NIDA unakuta watumishi wa NIDA wanapiga tu stori hakuna kazi ila deadline inapokaribia kila mtu yupo bize kuhangaikia na NIDA na malalamiko juu.

Mchakato wa kupata kitambulisho cha taifa umeanza zaidi ya miaka minne nyuma, Mlikuwa wapi siku zote.
 
Poleni sana mtakaozimiwa line! Ni muhimu kufanya jambo kwa wakati sahihi na kwa muda sahihi si vizuri Sana kila Jambo ufanye dakika za mwisho/dakika za lala salama.

Usikate tamaa bado muda upo na usiruhusu hali ya kuupuza vitu, uvivu au uzembe ukutawale.
Uzembe upi unaosema hapa?! Huku Mikoani tangu NIDA wametusajili hatujapata Namba wala Vitambulisho!
 
Bado siku 2 ufungiwe laini yako kama hutasajili kwa alama za vidole. Fika Vodashop au kwa wakala wa usajili ukiwa na namba yako ya NIDA. Asante

Nina subiria MSG ya bado dakika moja!
 
Wafunge tu mie day worker muda Sina my b wanitembelee kazini kuja kuniandikisha

Napika Kaz 12 asubuhi mpk 12 jion NITAENDA MUDA GANI NIDA,NITAENDA MUDA GANI KWA MTENDAJI

MAANA NIDOJI TUU SINA KAZ,NA KILA ALHAMISI MAREJESHO BLACK


TUMESOMA AJIRA HAMNA,WAFUNGE TUUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Litasoma jina lako.

Kwa hiyo utakua resposible kwa hiyo laini.

Ndio maana kama unakubali kumsajilia mtu ni bora awe ndugu kwa usalama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndugu awe ni mtu wa karibu sana either mtoto wako au mke. Insu ya ndugu ndugu Ku_monitor itakuwa vigumu. Ile mke hata mtoto akizingua sio mbaya mana wote wapo chini ya utawala wako hata wangezingua kwa namna yoyote utakuwa tu responsible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndugu awe ni mtu wa karibu sana either mtoto wako au mke. Insu ya ndugu ndugu Ku_monitor itakuwa vigumu. Ile mke hata mtoto akizingua sio mbaya mana wote wapo chini ya utawala wako hata wangezingua kwa namna yoyote utakuwa tu responsible

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes. Litasoma jina lako.

Kwa hiyo utakua resposible kwa hiyo laini.

Ndio maana kama unakubali kumsajilia mtu ni bora awe ndugu kwa usalama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakubari mi binafsi nmemsajilia wife. Ila ukimsajilia mtu taarifa zake za usajili wa mwanzo zinafutika unasomeka usajili mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nadhani kuna sehemu atafika atakosa baadhi ya huduma

MTC | 101|
 
Back
Top Bottom