Kuelekea kwenye demokrasia tanzania tuna safari ndefu sana!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,154
9,353
Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa raia wa jamii huisika wanjitambua!
Kinachoendelea hapa nchini kinashihirisha hhaya!

Ukweli Ni kwamba Mwalimu Nyerere kwa kujua au kutojia aliua misingi ya Raia kuwa na ujasiri wa kuamua kuhusu kuhusu hayma yao Kiuchumi,Kiongozi,na kijamii.
Mojawapo ya hatua zake zilizotufikisha hapa Ni:

1) Kuua Vyama vya Kiraia àikiwemo Vyama vya Ushirika mashinani.
2) Kuondoka mfumo wa kijadi wa Utawala

3) Kuua harakati za Kisiasa Mwaka 1965
4) Chama kushika hatamu na utamu Mwaka 1977.
5) Kuua Mamalaka ya Wananchi ktk Serikali za Mitaa!

Huu ndio mzizi wa fitna ...haya ya kina Halima na Mdee Ni matukio tu!

Hakuna jinsi DEMOKRASIA ya Kiliberali itakua hapa mpaka pale watakapopatikana kina Tundu Lissu 2000!
 
Back
Top Bottom