Kuelekea kufunguliwa kwa shule za msingi..

Ronee

Senior Member
Jun 1, 2018
156
155
Natumai siku si nyingi hapo mbeleni shule zitafungulia itakapowapendeza watawala,
Hivyo basi, Naomba kufahamishwa shule nzuri ya boarding (english medium) kwa Dodoma. Iwe ya shirika ama binafsi na yenye bei ya kizalendo kidogo. Natambua uwepo wa mashule yenye majina makubwa kama m. Luther, hapana si hayo namaanisha. Naamini zipo nyingine nzuri tu ila hazivumi Sana. Karibuni wazazi.
 
Ikiwapendeza watawala? Au korona isipo onesha makucha yake?
 
Back
Top Bottom