HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 69,358
- 94,532
Watu wengi vituo vichache afu wako slowHilo tatizo ni kama linatengenezwa ili watu watumie fursa kwa sababu linajirudia hata mechi na Platnum ilikuwa hivyohivyo
Watu wengi vituo vichache afu wako slowHilo tatizo ni kama linatengenezwa ili watu watumie fursa kwa sababu linajirudia hata mechi na Platnum ilikuwa hivyohivyo
hata milango huwa wanafungua michacheWatu wengi vituo vichache afu wako slow
Ahsante sana.List imeshatoka
Manula, Kapombe, Shabalala, Onyango, Wawa, Lwanga, Chama, Muzamiru, Mugalu, Miquisone, Dilunga
Benchi ni
Bwalya, Nyoni, Kenedy, Kahata, Kagere na Morison
Usihofu Simba ipo vizuri.All the best mnyama, kwakweli hii game siwezi kwenda kuitazama, ina presha kubwa kwangu
Kikosi kimetulia. Wote wanaoanza wanatabia ya kukaba tukiwa hatuna mpira isipokuwa Chama.List imeshatoka
Manula, Kapombe, Shabalala, Onyango, Wawa, Lwanga, Chama, Muzamiru, Mugalu, Miquisone, Dilunga
Benchi ni
Bwalya, Nyoni, Kenedy, Kahata, Kagere na Morison