Kuelekea Klabu Bingwa Afrika | Simba SC na Al Ahly SC, Mechi ya Kibabe kwa Wababe wa Soka

Status
Not open for further replies.

KANYIMBI

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,506
2,000
List imeshatoka
Manula, Kapombe, Shabalala, Onyango, Wawa, Lwanga, Chama, Muzamiru, Mugalu, Miquisone, Dilunga
Benchi ni
Bwalya, Nyoni, Kenedy, Kahata, Kagere na Morison
Kikosi kimetulia. Wote wanaoanza wanatabia ya kukaba tukiwa hatuna mpira isipokuwa Chama.

Morson anaweza kuingia kipindi cha pili na kuwa msaada kwa timu.

Mkude ni kama amejiondolea ufalme wake kwenye dimba la kati.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom