Kuelekea Kariakoo Derby: Ushauri kwa Kocha Zahera

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba.

Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho usimpange Chikupe.

Huyu beki ni mfupi na hana mbio kabisa. Ukimpanga hapa ndiyo itakuwa upenyo wa magoli. Badala yake umpange Ninja. Kila la kheri najua kesho mechi itakuwa kali sana ingawaje Simba wana ubora kuwazidi Yanga.
 
Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba. Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho usimpange Chikupe. Huyu beki ni mfupi na hana mbio kabisa. Ukimpanga hapa ndiyo itakuwa upenyo wa magoli. Badala yake umpange Ninja. Kila la kheri najua kesho mechi itakuwa kali sana ingawaje Simba wana ubora kuwazidi Yanga.
Eti Mikia wana ubora kuliko Yanga,kweli wewe ni Mbumbumbu au kisa kamfunga Ally Ahly?mmesahau kabisa zile Hamsa+Hamsa kwa match mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba. Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho usimpange Chikupe. Huyu beki ni mfupi na hana mbio kabisa. Ukimpanga hapa ndiyo itakuwa upenyo wa magoli. Badala yake umpange Ninja. Kila la kheri najua kesho mechi itakuwa kali sana ingawaje Simba wana ubora kuwazidi Yanga.
Golini akae nani??atakayepigwa goli 7 au atakayepigwa goli 5?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom