Kuelekea Julai 12, Dodoma imejaa makada wa CCM

Mfukutuzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
239
175
Ni ajabu ila ndivyo ilivyo, mambo ya siasa hayo, nimepita hapa Dodoma guest zote zimejaa, kila unapoenda unaambiwa kuna watu wa CCM wamechukua.

Nilipofanya utafiti mdogo, waliokuja si wote wajumbe wa Kamati za uteuzi, walio wengi ni wapambe wa wagombea, tena kwa study ya haraka haraka ni watu waliodhamiria, si watu waliojiandaa kupokea matokeo tofauti na waliyokuja nayo

Ninachojiuliza kama hawa wote wamekuja kuwashangilia watia nia wao, je ikitokea hajatajwa?

"Tahadhari lazima ichukuliwe"
 
Ngoja Wafu Wafe Wazikane, Ila Watambue ya Kwamba Baada ya Kuparurana Huko Dodoma, Wasifikiri huo Ndio Mwisho wa Mziki wa Uchaguzi, Wakirudi SITE Wajue UKAWA Ndio Habari ya Mjini na Vijijini Pamoja na Ujanjaujanja wao wa Magori ya Mkono.
 
mwaka huu lazma wafe tu. low na mende lazma wakisambaratishe. ukawa ile misa ya kwanza au swala ya dhuhuri tytakuwa tumetangaza ushindi
 
Ngoja Wafu Wafe Wazikane, Ila Watambue ya Kwamba Baada ya Kuparurana Huko Dodoma, Wasifikiri huo Ndio Mwisho wa Mziki wa Uchaguzi, Wakirudi SITE Wajue UKAWA Ndio Habari ya Mjini na Vijijini Pamoja na Ujanjaujanja wao wa Magori ya Mkono.

Hatari sana, mwaka huu watu watauana
 
Tunachoomba tu wasije wakatuletea vurugu, waishie huko huko
 
Back
Top Bottom